Kadilo afya

Kadilo afya

Share

09/12/2025

MCHEZO ELFU MBILI KUPOKEA LAKI MBILI VIGEZO MUHIMU KITAMBULISHO, NIDA, PASSPORT BOFYA LINKI KUJUA ZAIDI

JINSI YA KUMJUA MTEJA WAKO NI NANI? 06/11/2025

Wajasiliamali wengi wanafanya matangazo ya 'ku-sponsor', lakini hawapati wateja. Kurahisisha mauzo unatakiwa kumjua vizuri haswa mteja wako ni nani ?Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kumjua vizuri haswa mlengwa wako.
https://youtu.be/tQXNLkANaP0

Whatsapp
0713685823

JINSI YA KUMJUA MTEJA WAKO NI NANI? Wajasiliamali wengi sana wanafanya matangazo ya kusponsor, wanatumia gharama kubwa lakini hawapati wateja. kurahisisha mauzo unatakiwa kumjua vizuri mteja wa...

SIRI KUUZA BIDHAA MTANDAONI 04/11/2025

K**a unafanya matangazo ya ku-sponsor mtandaoni, lakini hupati wateja unashindwa kuuza bidhaa au huduma yako, watu wengi wanaishia kuuliza bei tu basi hapa utabaini jinsi ya kuzingatia kupata wateja
0713685823

SIRI KUUZA BIDHAA MTANDAONI K**a unafanya matangazo ya kusponsor hupati wateja kwenye video hii utabaini jinsi ya kuzingatia kabla ya kufanya sponsor ad kupata wateja sahihi wa kununua ...

JINSI KU-BOOST TANGAZO NA KUWEKA HEADLINE 29/10/2025

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya ku-boost tangazo kuweka headline kumwezesha anayona tangazo lako kuchukua hatua, usisahau ku-subscribe, ku-share, ku-like na comment
whatsapp
0713685823

JINSI KU-BOOST TANGAZO NA KUWEKA HEADLINE Kwenye video hii utajifunza jinsi ya ku-boost tangazo kuweka headline kumwezesha anayona tangazo lako kuchukua hatua, usisahau ku-subscribe, ku-share, ku-lik...

UJUMBE WA TANGAZO UNAOKUPA WALENGWA SAHIHI 28/10/2025

https://youtu.be/iwuG2GdVCbQ

K**a unafanya matangazo ya ku-sponsor hupati wateja unatumia gharama kubwa kufanya sponsor ad hupati matokeo mazuri kwenye video hii utabaini ujumbe wa tangazo unaoweza kukuletea walengwa sahihi kununua bidhaa au huduma yako.
whatsapp namba
0713685823

UJUMBE WA TANGAZO UNAOKUPA WALENGWA SAHIHI K**a unafanya matangazo ya kusponsor hupati wateja unatumia gharama kubwa kufanya sponsor hupati matokeo mazuri kwenye video hii utabaini ujumbe wa tangazo u...

27/10/2025

SPONSOR AD KUPATA WATEJA WENGI MTANDAONI, Malipo ni kila siku baada ya kurusha tangazo lako, mawasiliano zaidi piga simu au tuma ujumbe whatsapp namba 0683 676 865

Photos from Kadilo afya 's post 07/04/2025

JE UNASHINDWA KU-SPONSOR AD BOFYA LINKI HAPA 👇🏿
https://rb.gy/3qwq2t
K**a akaunti yao imefungiwa, una deni kubwa unatamani kulifuta, unatumia gharama kubwa kwenye matangazo yako hupati matokeo, unatamani kujua jinsi ya kuanza kuuza bidhaa mtandaoni, kufungua akaunti za matangazo, kurusha matangazo, kusimamiwa akaunti zako za mtangazo, kupata wateja wengi baada ya kufanya matangazo ya ku-sponsor.👇🏿
https://rb.gy/3qwq2t
K**a hayo ndio unatamani soma ujumbe huu kwa makini mpaka mwisho pengine ni suluhisho la changamoto yako 👇🏿
https://rb.gy/3qwq2t
Kadilo online nimekuandalia group la whatsapp kujua zaidi bofya linki kujiunga bure kabisa 👇🏿
https://rb.gy/3qwq2t
Ni mimi nayejali mafanikio yako
Mkurugenzi
Kadilo online
0765868582

07/04/2025

JE UNASHINDWA KU-SPONSOR AD BOFYA LINKI HAPA 👇🏿
https://rb.gy/3qwq2t
K**a akaunti yao imefungiwa, una deni kubwa unatamani kulifuta, unatumia gharama kubwa kwenye matangazo yako hupati matokeo, unatamani kujua jinsi ya kuanza kuuza bidhaa mtandaoni, kufungua akaunti za matangazo, kurusha matangazo, kusimamiwa akaunti zako za mtangazo, kupata wateja wengi baada ya kufanya matangazo ya ku-sponsor.👇🏿
https://rb.gy/3qwq2t
K**a hayo ndio unatamani soma ujumbe huu kwa makini mpaka mwisho pengine ni suluhisho la changamoto yako 👇🏿
https://rb.gy/3qwq2t
Kadilo online nimekuandalia group la whatsapp kujua zaidi bofya linki kujiunga bure kabisa 👇🏿
https://rb.gy/3qwq2t
Ni mimi nayejali mafanikio yako
Mkurugenzi
Kadilo online
0765868582

VIKWAZO SITA VINAVOSABABISHA WATEJA WASHINDWE KUNUNUA 30/03/2025

*VIKWAZO SITA VINAVYOSABABISHA WATEJA WASHINDWE KUNUNUA*

Inawezekana unashindwa kuuza bidhaa au huduma
mtandaoni, unatangaza matangazo ya ku-sponsor
unapata watu lakini wanashindwa kununua.

Katika makala haya utabaini vikwazo sita vinavyosababisha
walengwa wako kushindwa kununua bidhaa au huduma
yako na jinsi ya kuviondoa.

Kushindwa kujenga uaminifu kwa walengwa, kushindwa
kutoa au kuonesha thamani ya kile unachokiuza, lakini
kubwa zaidi ni kushindwa kuvunja vikwazo vya walengwa
kununua.

Vikwazo vikubwa unavyoweza kukutana navyo mara
kwa mara mtandaoni ni hofu ya walengwa kutapeliwa,
kukosa matokeo mazuri, na kupoteza fedha nyingi.

Bofya linki hapo chini kujua zaidi 👇🏿
https://youtu.be/9eodxgdEzP8

whatsapp 0765868582

VIKWAZO SITA VINAVOSABABISHA WATEJA WASHINDWE KUNUNUA Jinsi ya kuondoa vikwazo vya walengwa bofya subscribe ili next time tunapotoa video mpya k**a hizi uweze kupata taarifa ya kukutaarifu kuwa tumetoa video mpy...

SPONSOR AD FACEBOOK KWA SH2810 KWA SIKU KUPATA MATOKEO MAZURI 29/03/2025

JINSI YA KUTANGAZA FACEBOOK KWA GHARAMA NDOGO

Baadhi ya watu wamekuwa wakitangaza Facebook au Instagram kwa gharama kubwa na wanashindwa kupata matokeo mazuri.

Katika makala haya nta-share na wewe siri ya jinsi ya kutangaza Facebook au Instagram kwa gharama ndogo ya Tsh2810 kwa siku moja tu na kupata wateja wengi.

Bofya linki hapa chini kujifunza zaidi 👇🏿

SPONSOR AD FACEBOOK KWA SH2810 KWA SIKU KUPATA MATOKEO MAZURI Jinsi ya kutangaza facebook kwa gharama ndogo na kupata matokeo mazuri k**a wewe ni mgeni kwenye channel hiyo basi bofya subscribe ili next time uweze kupata...

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Kibaha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Kongowe
Kibaha
255