Viwanja.online
28/11/2021
Asante MUUMBAJI WANGU MFALME WA MBINGU NA DUNIA kunipa kibali cha kusimama mbele ya watu wako watukufu na wakuu, wabariki sana wanapozidi kukucha wewe MOLA wao kila kunapokucha uwazidishe katika kheri, INSHAALLAH.
28/11/2021
Habari yako ndugu mfwatiliaji wa matangazo yetu, hivi ni mojawapo ya viwanja vyetu vilivyopo kiluvya madukani karibu na nssf, tunakualika uje kujitwalia viwanja mapema kadri uwezavyo.
umbali kutoka barabara kubwa ya (morogoro road) ni kl 2
Ukubwa wa viwanja hivi ni kuanzia mita 25 kwa 30 kuendelea.
Gharama yake ni kuanzia Tsh ml 8.5 kuendelea na unaweza kulipa kwa awamu pia, karibuni sana.
Tupigie simu kwa namba 0752696319
Click here to claim your Sponsored Listing.