AFYA IMARA TZ

AFYA IMARA TZ

Share

24/07/2024

Simu yako tuu.

Unafikishiwa popote ulipo.

0769032683

22/06/2024

PILI PILI MANGA.
(KIBOKO YA JOTO LA UKE)

Dunia ya leo watu wengi wanapata maambukizi kwenye njia zao za uzazi na hawajui namna ya kujitibu.

Zipo kero kubwa watu wanashindwa hata kujitibu nyumbani sasa acha nikujuze kitu;

• MTU ANASHINDWA HATA KUJITIBU NYUMBANI U.T.I SUGU.

• K**A UNAPATA UCHOVU, AU UNAPATA MAUMIVU YA KICHWA MARA KWA MARA.

• K**A UNATOKWA/KUHISI HARUFU MBAYA UKENI K**A SHOMBO YA SAMAKI.

• K**A MAUMBILE YAKO YA SIRI (mwanamke) YAMETANUKA SANA MPAKA WEWE UNAJIONEA AIBU.

😁😁HII NDIO KIBOKO YA JOTO LA KASRI (mwanamke) UNAWEZA KUANZA KUIVA NDANI KWA NDANI WEWE MWENYEWE Jamaa akiweka dakika 2 waleteeeee 😆😁

MAHITAJI

UNGA WA PILI PILI MANGA.

CHUKUA KIJIKO (kikubwa) CHA CHAI WEKA KWENYE KIKOMBE CHENYE UJI WA MOTO CHANGANYA NA UNYWE FANYA ZOEZ HILO ASUBUH NA JIONI (Siku 4 - 5 NDANI ya Week1)

NB:
Kiukwel inawasha 😁😁😁 na pia joto kali unalipata.
Uwe unapenda kujiweka katika hali ya Usafi.

Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business in Kariakoo?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Kigamboni Na Kariakoo
Kariakoo