AFYA TZ
18/07/2024
Bidhaa za zetu zipo kwenye ofa tupigie 0754093444
~Hii Ni ndani ya siku 15-30 TU kwa wale wenye bawasiri sugu hata K**a umewahi kufanya operation na ikarudi Tena hapa ndio mwisho haitarudi tena.
MSHAURI MAKINI
0692094104
SOLUTION DIPILE
🩸Inaondoa kabisa kuwashwa sehemu ya tundu la haja kubwa
🩸Inamaliza kabisa Maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa ambayo kupelekea mtu kushindwa kukaa kwa muda
🩸Inaondoa choo chenye damu ,na kigumu K**a Cha mbuzi
🩸Inafanya kijinyama kilichtokeza sehemu ya haja kubwa kunywea chenyewe bila operation
🩸Inaondoa tatizo la Kukosa choo kwa muda mrefu
~MATOKEO NI NDANI YA SIKU 4 TU
~Utafatiliwa maendeleo yako mpaka utakapopona kabisa
~Tafadhari Soma maelekezo kabla ya kupiga simu
~Tunapatikana dar es salaam
~Ili kupata huduma hii mkoani kwako piga /sms
0692094104 Whatsapp
16/06/2022
KWANINI KUJISAIDIA CHOO KIGUMU NI KATIKA SABABU ZA MTU KUPATA BAWASIRI??
MAJIBU
⤵⤵⤵⤵⤵
-Kujisaidia choo Kigumu/Constipation ni katika sababu za kupata Bawasiri kwasababau mtu hutumia nguvu nyingi wakat wa kujisaidia hivyo hupelekea mgandamizo wa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa/puru hali hii hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa ya damu na kusababisha Bawasiri
Miongoni mwa sababu za mtu kujisaidia choo Kigumu ni:⤵⤵⤵⤵⤵
▶️ Ulaji duni -Kutohusisha vyakula vyenye nyuzi nyuzi(fibres) katika mlo k**a vile Mboga za majani na matunda pia kutokunywa maji ya kutosha.Pia kula vyakula vilivyokobolewa k**a Sembe na Wali bila kuhusisha vyakula vya kusaidia mmeng’enyo wa chakula ni katika sababu ya kupata choo Kigumu.
▶️ Vidonda vya TUMBO
-Vidonda vya tumbo husababisha mtu kujisaidia choo Kigumu kwasababu vidonda huathiri mmeng’enyo wa chakula na kupelekea kupata choo Kigumu.
▶️ Ngiri/Hernia
–Ngiri/Hernia husababisha mtu kujisaidia choo Kigumu kwasababu Ngiri huathiri mmeng’enyo wa chakula na kupelekea kupata choo Kigumu hivyo husababisha Bawasiri.
MUHIMU
-Mtu mwenye Ngiri na Vidonda vya TUMBO ni ngumu sana kupona Bawasiri endapo hatotibu Ngiri na Vidonda vya TUMBO pia wakati anatibu Bawasiri.
-Usipojua chanzo cha Bawasiri yako na kutatua chanzo hicho basi unaweza kuhangaika na Bawasiri hata kwa miaka zaid ha 10.
-Bawasiri ni athari. ambayo inaashiria kuna tatzo hivyo tibu/Jiepushe na chanzo Bawasiri itakukimbia yenyewe .
Mwisho
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Kariakoo
MBEZMWISHO
18/06/2022