Iringa Recovery Community - IRC
29/01/2026
π KARIBU HATUA SOBER HOUSE
Una ndugu au rafiki anayepambana kimya kimya na uraibu wa pombe au dawa za kulevya, na ungependa kumsaidia/kumuinua?
Hatua Sober House ni Nyumba ya Upataji Nafuu maalumu kwa matibabu na msaada kwa waathirika wa:
πΈ Bangi
πΈ Pombe
πΈ He**in
πΈ Co***ne
πΈ Mirungi
πΈ Na dawa nyingine zenye kulevya
Tunatoa huduma za kitaalamu kupitia ushirikiano wa wataalamu wa afya ya mwili na akili ili kumsaidia mteja:
β
Kupata matibabu salama na ya uhakika
β
Kujitambua na kuelewa athari za matumizi ya dawa
β
Kujikwamua kwenye utegemezi wa pombe na dawa za kulevya
HUDUMA ZETU NI PAMOJA NA:
1οΈβ£ Hatua 12 za Upataji Nafuu
2οΈβ£ Ushauri nasihi & msaada wa kisaikolojia
3οΈβ£ Darasa la Afya ya Akili
4οΈβ£ Tiba Kazi
5οΈβ£ Michezo & Mazoezi
6οΈβ£ Elimu ya Ujasiriamali
π Tunapatikana:
Mkimbizi βDβ, Kitalu 304 K β Manispaa ya Iringa
π Wasiliana nasi:
0629 56 03 27
0652 22 44 59
π± Hatua Sober House β Karibu Tupige Hatua Pamoja # #
π KARIBU HATUA SOBER HOUSE
Wasiliana nasi:
0629 560327
0652224459
recovery.community
Hii ni moja ya za kitambo kutoka kwa Ndg. Wilbert Mpanda πΆβkazi iliyobeba jitihada za kweli za kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu athari za matumizi ya pombe na dawa za kulevya.
Ni wimbo wenye funzo kubwa sana, hasa kwa βkundi linalokabiliwa na vishawishi vingi vinavyoathiri maamuzi yao ya maisha kila siku.
Ngoma hii ni shuhuda ya maisha halisi, ikieleza kwa kina namna pombe na dawa za kulevya zinavyoathiri maisha binafsi, mahusiano, familia, na ustawi wa jamii kwa ujumla.
π§ Pata wasaa, sikiliza kwa makini, na tafakari ujumbe wakeβ¦
π Kongole nyingi kwa Ndg. Wilbert Mpanda kwa kazi bora, ya kweli, na inayoendelea kuishi
03/01/2026
29/12/2025
π KUHUSU DIRA NA DHAMIRA YETU K**A TAASISI
Ungana nasi kuisaidia jamii kuondokana na janga hili kubwa la matumizi ya dawa kulevya.
Karibu tushirikiane kwa pamoja π
28/12/2025
π UKAGUZI WA DCEA β HATUA SOBER HOUSE
Mwanzoni mwa wiki hii, tarehe 23 Desemba 2025, HATUA SOBER HOUSE ilipata heshima ya kutembelewa na maafisa ukaguzi kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) β Kanda ya Nyanda za Juu Kusini kwa ajili ya kukagua mazingira ya kituo chetu kilichopo Mkimbizi (Iringa) na kujiridhisha kuwa yanafaa kwa utoaji wa huduma za utengemao.
Tunawashukuru sana DCEA kwa ujio wao, mwongozo, pamoja na maoni na mapendekezo yenye tija yaliyotolewa kwa lengo la kuboresha zaidi mazingira yetu na kuyafanya yawe rafiki, salama, na yenye kuzingatia viwango vinavyohitajika katika huduma za urejeshwaji.
Tunathamini sana ushirikiano huu na tunaahidi kuendelea kufanya kazi kwa karibu na DCEA ili kwa pamoja tuweze kuleta matokeo chanya na endelevu kwa jamii katika mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya.
Asanteni kwa kujali, kufikika, na kuendelea kuwa sehemu ya suluhisho. π€π
RecoveryIsPossible
π KARIBU HATUA SOBER HOUSE
Una ndugu au rafiki anayepambana kimya kimya na uraibu wa pombe au dawa za kulevya, na ungependa kumsaidia/kumuinua?
Hatua Sober House ni Nyumba ya Upataji Nafuu maalumu kwa matibabu na msaada kwa waathirika wa:
πΈ Bangi
πΈ Pombe
πΈ He**in
πΈ Co***ne
πΈ Mirungi
πΈ Na dawa nyingine zenye kulevya
Tunatoa huduma za kitaalamu kupitia ushirikiano wa wataalamu wa afya ya mwili na akili ili kumsaidia mteja:
β
Kupata matibabu salama na ya uhakika
β
Kujitambua na kuelewa athari za matumizi ya dawa
β
Kujikwamua kwenye utegemezi wa pombe na dawa za kulevya
HUDUMA ZETU NI PAMOJA NA:
1οΈβ£ Hatua 12 za Upataji Nafuu
2οΈβ£ Ushauri nasihi & msaada wa kisaikolojia
3οΈβ£ Darasa la Afya ya Akili
4οΈβ£ Tiba Kazi
5οΈβ£ Michezo & Mazoezi
6οΈβ£ Elimu ya Ujasiriamali
π Tunapatikana:
Mkimbizi βDβ, Kitalu 304 K β Manispaa ya Iringa
π Wasiliana nasi:
0629 56 03 27
0652 22 44 59
π± Hatua Sober House β Karibu Tupige Hatua Pamoja
27/12/2025
π± ESTABLISHING HATUA SOBER HOUSE
We are proud to announce the establishment of HATUA Sober House, a flagship project initiated by Iringa Recovery Community (IRC).
HATUA Sober House is designed to support individuals and families affected by alcohol and drug use by providing a safe, structured, and recovery-oriented environment. Through professional counseling, mental health support, life-skills development, and community reintegration, we aim to restore dignity, stability, and hope.
This initiative reflects IRCβs commitment to building recovery-focused systems of care that empower individuals to rebuild their lives and contribute positively to their communities.
We welcome partnerships, referrals, and collaboration as we take this important step toward strengthening recovery services in Tanzania.
Together, recovery is possible.
_____________________________
π± TAARIFA YA KUANZISHWA KWA HATUA SOBER HOUSE
Kwa furaha tunatangaza kuanzishwa kwa HATUA Sober House, mradi mkuu ulioanzishwa na Iringa Recovery Community (IRC).
HATUA Sober House imelenga kusaidia watu binafsi na familia zinazokabiliana na athari za matumizi ya pombe na dawa za kulevya, kwa kutoa mazingira salama, yenye mpangilio, na yanayolenga upataji nafuu. Kupitia ushauri nasaha wa kitaalamu, msaada wa afya ya akili, stadi za maisha, na maandalizi ya kurejea jamii, tunalenga kurejesha heshima, utulivu, na matumaini.
Mpango huu unaakisi dhamira ya IRC ya kujenga mifumo ya huduma inayozingatia upataji nafuu na kuwawezesha waathirika kujenga maisha mapya na kuchangia maendeleo ya jamii.
Tunakaribisha ushirikiano, rufaa, na wadau wote wenye nia ya kushirikiana nasi katika safari hii muhimu.
Kwa pamoja, upataji nafuu unawezekana.
25/12/2025
Tunayo furaha kuwakaribisha wataalamu, wadau, na washirika kwenye ukurasa wa Iringa Recovery Community (IRC).
Kwa pamoja, tunajitolea kusaidia watu binafsi, familia, na jamii za Kitanzania zinazokabiliwa na changamoto za uraibu.
Tunakualika ufuatilie ukurasa wetu, ushiriki katika kazi zetu, na uunge mkono maono ya pamoja katika kuiwezesha jamii kuondokana na matumizi ya dawa za kulevya.
_______________
We are pleased to welcome professionals, partners, and stakeholders to the Iringa Recovery Community (IRC) page.
Together, we are committed to supporting individuals, families, and communities across Tanzania affected by substance use disorders.
We invite you to follow our page, engage with our work, and support a shared vision of recovery, dignity, and community empowerment.
Click here to claim your Sponsored Listing.