MTOTO WANGU
02/03/2026
23/10/2025
wangu,
Wazazi ni taa ya kwanza katika safari ya maisha ya mtoto. Malezi yao ni mbegu inayoota kuwa tabia, maadili na ndoto zako za kesho. Wazazi wanapoweka muda, upendo na maombi katika kukuongoza, wanajenga kizazi chenye heshima, hekima na hofu ya Mungu.
Wazazi, tusichoke kulea kwa upendo. Tusimwachie dunia kazi ambayo ni yetu. Mtoto anaweza kuiga maneno yetu, lakini ataishi matendo yetu. Tuwe mfano bora, tuwafundishe njia ya kweli, na tutembee pamoja nao mpaka waijue.
Want your school to be the top-listed School/college in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
IRINGA
Iringa
51108
Iringa
51108
21/10/2025