Misago's TECH
Shortcut Kazi Yake
Windows + L Kufunga (lock) PC haraka bila kuzima
Windows + E Kufungua File Explorer moja kwa moja
Windows + Shift + S Kuchukua screenshot ya sehemu unayotaka (Screen Snip)
Ctrl + Shift + Esc Kufungua Task Manager moja kwa moja
Windows + . (dot) Kufungua emoji panel 😊😂🔥
Alt + F4 Kufunga programu iliyo wazi au kuzima PC ukiwa kwenye desktop
Windows + Tab Kuonyesha Timeline/Task View ya programu zote
Windows + R Kufungua Run dialog box
Windows + ↑ / ↓ Kukuza au kupunguza dirisha la programu (maximize/minimize)
Ctrl + Shift + T Kufungua tena tab uliyofunga kwenye browser
Karibu kwenye MISAGO Tech!
Hapa tunatoa mafunzo mafupi, rahisi, na ya kueleweka ya kompyuta na teknolojia. Hata k**a wewe ni mgeni kwenye dunia ya kompyuta, hapa utajifunza hatua kwa hatua.
Leo tunaanza na tip rahisi:
Jinsi ya kuhifadhi kazi zako haraka kwenye kompyuta:
Kila unapoandika au kufanya mabadiliko, bonyeza Ctrl + S kuhifadhi mara moja. Hii itakusaidia usipoteze kazi zako kwa ajali.
Jiunge nasi, fanya mazoezi, na ujifunze kila siku!
👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Iringa