king.cobla

king.cobla

Share

28/01/2026

BCAA = Branched Chain Amino Acids
Kazi zake wakati wa mazoezi
1.Inapunguza uchovu
2.Inazuia misuli “kuliwa” (muscle breakdown)
3.Inaongeza recovery haraka
4.Inaongeza muscle building

Suprement :

Meal :

Gym :

24/01/2026

COBRA POWER PACK IS COMING SOON ….

Suprement

Meal

Gym

04/07/2025

Habari wanamichezo , Ningependa kushukuru kamati nzima ya kwa kuwezesha kuleta mashindano haya makubwa Tanzania 🇹🇿.

Naomba radhi kwa kutokushiliki mashindano haya kwa kukosa ndege ya mapema kufika nzanzibar .Hali ya hewa iringa sio salama kwa usafiri wa anga , Najua nimewaumiza mashabiki wangu wengi ambao walitamani kuona nikishiliki mashindano haya .
Nashukuru sana watu wote ambao mananipa saport na kunipa nguvu ya kulitumikia taifa langu . Wakati ujao nitajitahid kuandaa mazingila mapema na kufika kwenye mashindano kwa wakati .

Protein:

Meal :

Gym :

16/05/2025

PIZZA : High-quality,High- protein 💪

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

Gangilonga
Iringa
+255