Hagymatz
Fisher gold hunter
Tsh 1,700,000
Imetengenezwa zaidi kwa kutafuta dhahabu (gold prospecting)
Ina uwezo mzuri wa kugundua vipande vidogo vya dhahabu mpka Mita 2
Ni nyepesi kubeba na rahisi kutumia
Inafanya kazi vizuri kwenye maeneo ya madini, lakini performance hutegemea aina ya udongo
Faida: ✅ Nzuri kwa kutafuta gold ndogo
✅ Rahisi kujifunza kutumia
✅ Bei yake mara nyingi ni nafuu kuliko baadhi ya detector kubwa
Hasara: ❌ Haifiki kina kirefu sana k**a detector za gharama kubwa za kitaalamu
❌ Udongo wenye minerals nyingi unaweza kuathiri signal ikiwa settings si sahihi
1,230,000
Je, unahitaji kifaa hiki kwa kazi yakupata taarifa sahihi za maeneo ya migodini? Jibu limepatikana ni gpsmap 65s.. accurate yake ni hadi meter 1.8
Piga simu 0772442279
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Iringa