odacedavara.webs.com

odacedavara.webs.com

Share

16/11/2021

Hapy born is Loading......

22/09/2017

http://djredrlj.date/5152754944466/

👆👆👆bonyeza hapo uweze kujinyakulia mapesa kijana acha kulala amka

Viewing payed advertising sites wmoney.host - Welcome! Viewing of advertising sites

28/08/2017

*Jana Mchepuko wangu kanipigia simu📞 na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki8 nikamuuliza wapi? kaniambia ameibiwa mjini, nikampa pole! halafu akaniambia nimpe laki4 na yeye analaki4 akanunue simu nyingine nikamwambia njoo geto uchukue, mida ya saa 12:30 kashafika nikampa laki4 usiku kaondoka kwenda kwao*.

*Huku nyuma mimi nikavaa mkoti mrefu na maski 🎅nikakimbia nikaenda kumsubiria mbele, kaja kafika kwenye kona moja hivi nikaona hapahapa ndo pakumalizia mchezo fasta bila kupoteza muda nikampiga kabari ya maana na kuchukua laki8 yote nikatokomea zangu, kufika geto2 akanipigia simu huku akiwa analia nikamuuliza kulikoni akaniambia amekabwa nakibaka na kunyang'anywa hela yote!😣 nikamwambia arudi nije nimpe nyingine akaja nikampa laki4 yake na mimi nikabakia na yakwangu halafu akaniomba nimsindikize hadi kwao anahofia kukabwa tena nikamwambia alale ataenda kesho😂ikatiki✅*

*Maswala yakurudisha maendeleo nyuma hakunaga tena aisee*🚶🚶

Want your establishment to be the top-listed Bar/pub in Geita?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

Geita

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00