Mc Loth

Mc Loth

Share

17/09/2025

Mc Loth nitakuwepo

15/09/2025

πŸ”₯ *MC LOTH kutoka Dodoma anaingia kwa kishindo Singida!* πŸ”₯
Hawezi kukosa historia ya kwanza ya *Singida Comedy Festival* πŸ’₯
Njoo uone mzuka wa u-MC wa mtaa ukilipuka kwenye jukwaa la kitaifa!

πŸ“ *Aqua Vitae Hall – 26.09.2025*

29/08/2025

MC LOTH – Sauti ya Tukio! πŸŽ€πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Katika kila sherehe, tunaleta furaha, nidhamu, na burudani isiyosahaulika.
Niunge mkono katika harusi, send-off, mahafali, na matamasha ya kijamii.
πŸ“ž Nipigie sasa: 0622 274 652
*Tanzania nzima tunafika!*

19/08/2025

Je maskini na tajiri nani anamatumizi mabaya ya kifedha.
Comment yako ni muhimu sana
Follow@Mc Loth
https://www.facebook.com/profile.php?id=61578093182718

Mc Loth πŸŽ™οΈ *MC LOTH - The Voice Behind Your Joy!*
Mahafali πŸŽ“ | Harusi πŸ’ | Send-off πŸ’ƒ | Tamasha πŸ•Ί
Popote ulipo Tanzania, burudani inakufikia!
πŸ“ž 0622 274 652
_"Sauti inayobeba furaha ya tukio lako!"

18/08/2025

Baada ya majukumu yake ya timu ya Taifa kijana tayari kupokelewa misri kujiunga na wenzake kambini.
Loth UPDATES

18/08/2025

πŸ“ π‘π€π’πŒπˆ: KLABU ya Simba Sc imetangaza kuwa Sherehe za Simba Day kwa mwaka 2025 zitafanyika Septemba 10, 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Siku hiyo maalumu kwa Wanasimba ambayo hufanyika kila mwaka ni mahususi kwa ajili ya kutambulisha wachezaji wapya ambao wamesajiliwa na Simba kuelekea msimu mpya.

Loth UPDATES

17/08/2025

πŸ”΄πŸš¨ MECHI YA ROBO FAINALI | CHAN 2024
πŸ“… 22 Agosti 2025 | ⏰ 20:00
πŸ“ Benjamin Mkapa Stadium
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tanzania vs Morocco πŸ‡²πŸ‡¦

πŸ”₯Hii tunavukaπŸ‘‹πŸ‘ŠπŸ’ͺ🏟️

Maoni yako Tafadhali πŸŽ™οΈ

Loth Updates

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address

P. O. Box 2260
Dodoma
49