PigaTech SoftCompany
25/05/2026
TEMBELEA KWENYE ACCOUNTS ZETU kwenye Mitandao ya Kijamii, kwa Jina la PIGATECH SOFTCOMPANY
SIMUVOTE TANZANIA | Tembeleea 👉 simuvote.com
SimuVote
Innovative Voting Solution by PigaTech SoftCompany
SimuVote ni mfumo uliotengenezwa na software company inayoitwa PigaTech SoftCompany, kwa lengo la kutatua changamoto mbalimbali katika upigaji kura, ikiwemo:
Changamoto Zinazotatuliwa:
Kupoteza muda wakati wa uchaguzi
1. Matumizi ya karatasi yanayochafua mazingira
2. Wizi wa kura
3. Kutokuwepo kwa uhuru kwa mpiga kura na anayepigiwa kura
4. Kuchelewa kwa matokeo kutangazwa
Jinsi SimuVote Inavyotatua Changamoto Hizi:
1. Rahisi kutumia - kinachohitajika ni jina na namba ya simu ya mpiga kura tu.
2. Upigaji kura wa nafasi nyingi kwa wakati mmoja - unaweza kumpigia kura Mwenyekiti, Katibu na viongozi wengine kwa pamoja.
3. Matokeo ya wakati halisi (Real-time) - kila kura inapoongezeka, inaonekana papo hapo.
4. Usiri wa mpiga kura - hakuna picha wala muonekano wa mtu unaoonyeshwa.
5. Uwazi na uhuru wa kuchagua - kila mtu anachagua bila shinikizo.
6. Matokeo hujitokeza mara baada ya uchaguzi kumalizika.
7. Usalama na faragha - matokeo hujifuta kiotomatiki siku moja baada ya uchaguzi.
8. Bure kabisa kutumia - hakuna gharama yoyote.
9. Msaada kwa wateja (Technical Support) — tunapatikana *24/7* kukusaidia.
Tafuta na Utufuate kwenye Mitandao ya Kijamii:
✅Instagram: SimuVote Tanzania
✅Facebook: SimuVote Tanzania
✅Twitter (X): SimuVote Tanzania
15/09/2025
📌 OFFA 📌 OFFA 📌OFFA
PATA WEBSITE KWA BEI NAFUU KABISA, unaipata ndani ya siku 3 hadi 5 za kazi.
Lipia 200,000/= upate 👇
✅ Website Yenyewe
✅ Jina unalotaka Bure kwa mwaka mmoja
✅ hosting(database) yako Bure kwa mwaka mmoja
AU
Lipia 150,000/=
Upate 👇
✅ Website Yenyewe
❌ Jina unalotaka Bure kwa mwaka mmoja
❌ hosting(database) yako Bure kwa mwaka mmoja
MALIPO BAADA YA KAZI
Wasiliana nasi leo
Website: www.pigatechsoft.com
Email: [email protected]
Whatsapp: 0678520538
call: 0755 520 538
28/08/2025
Tovuti bora ni hatua yako ya mafanikio! 🚀 PigaTech SoftCompany inatoa uvumbuzi wa wateja na maarifa ya hali ya juu. Pata tovuti yako kwa [email protected]!
Wasiliana nasi leo
Website: www.pigatechsoft.com
Email: [email protected]
Whatsapp: 0678520538
call: 0755 520 538
15/07/2025
🤔Je, Unatafuta Tovuti Bora kwa Biashara Yako❓
Usijali Tena,❗
▶️ PigaTech SoftCompany
www.pigatechsoft.com
Sisi ni wataalamu wa kutengeneza tovuti za aina zote, tukikupa suluhu bora za mtandaoni zinazofaa mahitaji yako ya kipekee.
Huduma Zetu Zinatia Jumuisha:↙️
▶️ Tovuti za Biashara: Tunaunda tovuti za kuvutia ambazo huongeza mauzo na kukuza uaminifu wa wateja.
▶️ Tovuti za E-commerce: Tunaunda maduka ya mtandaoni salama na yenye ufanisi kwa kuuza bidhaa zako mtandaoni.
▶️ Tovuti za Blogu: Tunaunda tovuti za kuvutia za blogu ambazo husaidia kushirikisha hadhira yako na kuboresha uonekano wako wa mtandaoni.
Usikose Fursa Hii❗
Wasiliana nasi leo
Website: www.pigatechsoft.com
Email: [email protected]
Whatsapp: 0678520538
call: 0755520538
kwa nukuu ya bure na uanze safari yako ya mafanikio ya mtandaoni
27/06/2025
TAILOR APPLICATION SYSTEM
Angalia SYSTEM yetu hapa 👉 tailorapp.pigatechsoft.com
01/06/2025
🚀 Exciting Career Opportunities at PigaTech SoftCompany🚀
Are you a talented tech enthusiast looking to take your career to the next level? Pigatech Software Company is hiring for multiple roles in Dodoma, Tanzania! Join our dynamic team and work on innovative projects in a collaborative environment.
📌 Open Positions:
✅ System Designer
✅ Website Developer
✅ Mobile App Developer
✅ System Developer
🔍 Requirements:
🔖 Proficiency in programming
🔖 UI/UX or commerce platform experience
🔖Strong problem-solving skills
🔖Ability to thrive in a fast-paced tech environment
📅 Apply by June 20, 2025
📩 Send your resume to: [email protected]
Whatsapp: +255 678 520 538
Don’t miss this chance to grow with us!
27/05/2025
Wasiliana nasi leo
Website: www.pigatechsoft.com
Email: [email protected]
Whatsapp: 0678520538
call: 0755 520 538
Currently developing a mobile 📱 app
Wasiliana nasi leo
Website: www.pigatechsoft.com
Email: [email protected]
Whatsapp: 0678520538
call: 0755 520 538
14/05/2025
Karibuni sana,
wasiliana nasi leo
Website: www.pigatechsoft.com
Email: [email protected]
Whatsapp: +255 678 520 538
call: +255 755 520 538
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dodoma
41107
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 18:00 |
| Tuesday | 08:00 - 18:00 |
| Wednesday | 08:00 - 18:00 |
| Thursday | 08:00 - 18:00 |
| Friday | 08:00 - 16:00 |
| Saturday | 08:00 - 14:00 |