Prophet Richard

Prophet Richard

Share

Photos from Prophet Richard's post 25/04/2026

MSAIDIZI

Neno hili Halimaanishi mtu aliye chini au asiye na uwezo, bali ni mtu anayekuja kukamilisha kile ambacho hakipo au kuleta nguvu pale palipo na uhitaji.
Neno Msaisizi kiebrania ni Ezer.
Zab121:1-2
ni mtu mwenye nguvu anayekuja kusaidia pale ambapo mwingine peke yake hawezi.

Majukumu ya Msaidizi

​Kuondoa Upweke:
Kuwa rafiki na mwenzi wa karibu.

​Kushirikiana katika Maono:
Kumsaidia mume kutimiza wajibu ambao Mungu amewapa k**a familia (kuitunza bustani/dunia).

​Ushauri na Hekima:
Kuleta mtazamo ambao mume anaweza asiwe nao.

Sifa za Msaidizi

​Unyenyekevu:
Kukubali kusaidia bila kutafuta sifa binafsi.

​Upendo:
Kufanya kazi ya usaidizi kwa moyo mweupe.

​Uaminifu:
Kuwa mtu anayeweza kutegemewa wakati wa shida.

Thankyou my Ezer
Prophetes Angel Richard

24/04/2026

UPONYAJI WA AJABU KIBINADAMU

MTU HUYU ALIKUWA NAUVIMBE KOONI HAKUWA ANAWEZA KUMEZA CHOCHOTE LAKINI ALIPOPATA USHUHUDA WA NABII RICHARD ALIAMUA KUJA KUONANA NAE NA MUNGU AKAMPONYA

TAZAMA VIDEO HII AKIOMBEWA NA VIDEO INAYOFIMUATA NI USHUHUDA WA UPONYAJI

22/04/2026

WIKI YA NEEMA YA KIUNGU.JEHOVAH MERCY CHURCH || PROPHET DR.RICHARD MAGENEGE.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Dodoma