LandLai

LandLai

Share

26/01/2026

Miliki kiwanja Ntyuka Dodoma, Km 7 tu kutoka Dodoma Mjini.

Ukubwa: Sqm 700 - 2600 SQM
BEI: 10M TSH na kuendelea

Pamepimwa na kuthibitishwa na Mamlaka za Ardhi


HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIMEFIKA SITE.
• Makazi ya kisaza
• Maji
• Umeme
• Barabara

RATIBA YA KWENDA SITE
Kila siku Kuanzia Jumatatu - Jumapili

Muda: Muda wote wa kazi

Wasiliana nasi simu :
0656488927 / 0696079036

Fuatilia ukurasa wetu

22/07/2025

Moja ya eneo lilozungukwa na maeneo potential hapa jijini Dodoma basi Mwangaza ni mojawapo. Ni eneo la kimkakati lenye viwanja vikubwa likiruhusu uwekezaji wa makazi na biashara.

Ukiwa unatokea Dar es salaam basi Mwangaza ipo baada ya kisasa, na upande wa juu imekaribiana na Njedengwa Inv Area huku kusini likipakana na Nzuguni na Iyumbu.

Ni eneo lililopo karibu kabisa na Dododma mjini likiwa na miundombinu ya kisasa, mpangilio mzuri wa makazi na huduma za kijamii

Hapa tuna viwanja kuanzia ukubwa wa sqm 1500 mpaka 4000 kwa makazi au biashara

Wasiliana nasi kupitia namba ya simu 0656488927

21/07/2025

Maeneo k**a Iyumbu, Ihumwa na Mtumba ni maeneo mazuri ya kuishi ndani ya jiji la Dodoma.

Ni maeneo yaliyokaa kimkakati na yenye miundombinu imara na huduma za kijamii

Je ungependa kuwekeza iwe makazi au biashara katika maeneo haya ? Wasiliana nasi 0656488927

Want your business to be the top-listed Realtor/realty Service in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

Gaddafi Street
Dodoma
41000

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00