Truth Conference Ministry-Tcm
03/05/2020
18 Na watu wangu watakaa katika kao la amani; na katika maskani zilizo salama, na katika mahali pa kupumzikia penye utulivu.
Isaya 32:18
Mungu akulinde na corona na kila aina ya upinzani kwa jina la yesu ameni..
05/02/2020
Tunandaa utaratibu mzuri wa kuanza tena kutuma masomo kumbuka ukurasa huu hauna nia ya kukufanya uache kile unachoamini lakini siku zote utakutana na masomo ya biblia ile kweli iliyofichwa ndani ya biblia basi utaikuta hapa na ni maombi yng bwana atakukumbuka na kukufanya kuwa mpya .
Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dodoma
[email protected]
[email protected]