Gerwalda wellness
03/11/2021
Usikubali kubaki na changamoto hii
30/10/2021
JE WAJUA UNENE(KUWA NA UZITO MKUBWA) IMEKUWA NI TATIZO AMBALO KATIKA KARNE HII UNENE UMEPELEKEA MAGONJWA MENGI KWENYE MWILI WA BINADAMU.
Watu wengi hawajui hasara za kuwa na uzito mkubwa ndio sababu bado watu wengi hutumia milo ili kushiba na sio kujenga mwili
ZIFUATAZO NI BAADHI YA SABABU ZINAZOPELEKEA MTU KUWA NA UZITO MKUBWA(UNENE)
# Kula vyakula vilivyozidi wanga,sukari na mafuta kwa wingi.
# Kutokufanya mazoezi mara kwa mara hasa baada ya kula
# kutojishughulisha na kazi mbalimbali hivyo kufanya mwili kujitengenezea mafuta muda wote
HIZI NI BAADHI YA SABABU LAKINI ZIPO BAADHI HASARA(MAGONJWA )YATOKANAYO NA UZITO MKUBWA
# Shinikizo la damu.
# Ugonjwa wa kisukari.
# Maradhi ya moyo.
# Maradhi ya presha ya kupanda
# Shida ya kupumua
# Matatizo ya uti wa mgongo na viungo vya miguu.
Kutokana na changamoto hizi kuwatesa watu wengi na wao kutojua watafanya nin ili waondokane na uzito mkubwa hivyo ipo program ambayo itakusaidia wewe mwenye changamoto hii kupitia program hii watu wengi wameweza kupunguza uzito mpaka kgs 30 ndani ya siku chache
Kwa maelezo zaid piga simu no au Whatsapp no:+255747623805.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Dodoma