Ramp In AirSide

Ramp In AirSide

Share

31/05/2026

Aviation Industry - Towbarless Tractor

24/05/2026

Towbarless Tractor (TBL)
Hili ni gari la kisasa zaidi ambalo halihitaji chuma kirefu; lenyewe linasogea hadi chini ya tairi la mbele la ndege .Linanyanyua lile tairi juu kidogo na kulibeba kwa kulikumbatia kabisa . kisha linaanza kuisukuma au kuivuta ndege kwa urahisi na usalama mkubwa

Kwenye picha hapo inaonyesha jinsi gani teknolojia hiyo inavyofanya kazi hapo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), ikiwa inaisukuma ndege ya Air Tanzania (Boeing 737 Max 9 yenye jina la "Ruaha National Park").

21/05/2026

Aviation Industry - Welcome on board na hii ni Air Tanzania TC 111 , Je hii TC 111 inatokea wapi ?

20/05/2026

Aviation Industry - Unajua kuwa Uwanja wa ndege wa JNIA unafanyakazi masaa 24/7 ndege zinatua na kuruka muda wote .

20/05/2026

🎉 I earned the emerging talent badge this week, recognizing me for creating engaging content that sparks an interest among my fans!

20/05/2026

Aviation Industry - Hili ni shirika la ndege aina gani ?

18/05/2026

Aviation Industry - Tukio hili lilitokea na lilizua gumzo kubwa! shirika la United Airlines (Ndege namba UA901) iliyokuwa inatoka uwanja wa ndege wa San Francisco (SFO) nchini Marekani kuelekea London Heathrow (LHR) nchini Uingereza.

Ndege hiyo ikiwa tayari imeshakimbia angani kwa karibu saa mbili (2) na kuvuka anga la Canada kuelekea Bahari ya Atlantiki, Rubani mkuu aligundua ghafla kuwa amesahau hati yake ya kusafiria (passport) — kitu ambacho ni kosa kisheria na asingeweza kuruhusiwa kuingia Uingereza au hata kuongoza ndege hiyo wakati wa kurudi baada ya kutua.

​Baada ya kubaini kosa hilo ambalo lingesababisha mkwamo mkubwa wa kisheria huko mbele, Rubani huyo alichukua maamuzi magumu ya kuigeuza ndege hiyo katikati ya safari na kurudi ilikotoka (San Francisco).

Abiria walibaki na mshangao mkubwa baada ya kupewa taarifa rasmi kuwa ndege inageuka kwa "sababu za kiutawala" (administrative reasons), na walikuja kugundua ukweli wa mambo baada ya kutua kuwa safari yao ya saa 11 iliahirishwa na kucheleweshwa kwa saa kadhaa kwa sababu tu ya passport ya rubani kuachwa nyuma.

16/05/2026

Aviation Industry - Uwanja wa ndege haulali 💯

16/05/2026

Aviation Industry - Michezo huunganisha watu tukutane viwanja vya Mwembe Yanga 💯

Kwa huduma ya Graphics Designs mtembele Shabani Omary Hoza au Instagram Shelbydigital.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Dar Es Salaam
12116