NAPRO App

NAPRO App

Share

30/06/2026

Kutafuta nyumba Dar ni adventure yenye GPS ya moyo, si ya app 😂.

30/06/2026

‎🙍 Watu wengi huona ubunifu k**a kuongeza vitu vipya, lakini mara nyingi ubunifu wa kweli ni kuondoa maumivu yasiyo ya lazima: muda unaopotea, urasimu, au stress ya kufanya kitu ambacho kingeweza kuwa rahisi.

‎👉 Mfano mzuri ni DALALI na NAPRO App — badala ya kulazimisha Dalali kubadilika ili kutumia mfumo, NAPRO App tumeubadilisha mfumo ili uendane na jinsi wanavyofanya kazi. Huo ndio ubunifu unaopunguza mateso ya kila siku.

‎🤝 DALALI 👀

‎Sio lazima ubadilishe namna unavyofanya kazi.

‎NAPRO itabadilika kukufaa wewe.

‎Kwa sababu ukweli ni huu...

‎Kazi yako si kujaza fomu.

‎Kazi yako ni:
‎✅ kupata listings
‎✅ kupata wateja
‎✅ kufunga deals

‎Sasa acha sisi tukurahisishie.

‎🟦 NJIA 1 — Kuwa NAPRO Agent (Tunapendekeza hii)

‎Jisajili k**a Agent.

‎• Tengeneza profile yako
‎• Weka listings zako
‎• Tumia tools za NAPRO
‎• Jenga visibility na trust yako kidigitali

‎Hii ndiyo njia bora zaidi kwa dalali anayetaka kukua na kujenga brand yake.

‎━━━━━━━━━━━━━━

‎🟦 NJIA 2 — Huna muda? Sisi tufanye.

‎Jisajili tu.

‎Kisha tutumie:

‎✔ Picha za property
‎✔ Bei
‎✔ Maelezo
‎✔ Location
‎✔ Tuambie k**a property ni yako au ipo kwenye chain ya madalali

‎Tutahamisha listings zako zote kwenda NAPRO.

‎Ukimaliza kuanza, listings mpya utaongeza mwenyewe.

‎━━━━━━━━━━━━━━

‎🟦 NJIA 3 — Hutaki kutumia app kabisa?

‎Hakuna shida.

‎Unaweza kushirikiana nasi kupitia Estate Owners.

‎Tutasaidia kutangaza listings zako, tukipata mteja tutagawana commission kwa makubaliano.

‎━━━━━━━━━━━━━━

‎Kwa kifupi...

‎Tunataka upige biashara.

‎Sio ujaze fomu. 😭🦾

‎Lengo letu ni kuhakikisha listings zako zinaonekana na wewe upate nafasi zaidi za kufunga deals.

‎Chagua njia inayokufaa.

‎📲 WhatsApp: link kwenye bio

‎NAPRO

‎Digital Dalali Without Drama.


30/06/2026

‎🏡 PROPERTY MPYA NDANI YA NAPRO

‎📍 A Plot for Sale
‎Makurunge, Bagamoyo, Pwani

‎🆔 TZ-BAG-FAC-881353

‎📌 Facing Msata Road
‎📍 Near Saadani National Park Junction

‎🔗 View full listing, get map direction & contact owner directly:
‎Link ya webapp kwenye bio.

‎━━━━━━━━━━━━━━

‎Mmiliki hapo juu ameichagua NAPRO kuongeza visibility ya property yake.

‎📢 Je, una nyumba, kiwanja au shamba unataka kuuza au kupangisha?

‎Usisubiri wateja wakupate kwa bahati.

‎Liorodheshe kwenye NAPRO ili lionekane na wanunuzi na wapangaji wengi zaidi.

‎✔ Property Owners
‎✔ Agents
‎✔ Scouts

‎Wote wanakaribishwa.

‎📲 Anza kupitia webapp link iliyopo bio
‎AU
‎Tuandikie WhatsApp tukuanzishie.

‎NAPRO

‎Digital Dalali Without Drama.

29/06/2026

‎Soko limechoka pale mnunuzi na owner wanataka kumzunguka dalali simultaneously 😭

‎NAPRO inakuja kuweka clarity — hakuna kuzungukana, hakuna drama.

Meseji whatsapp: Link kwenye bio

29/06/2026

‎🔥 NAPRO KAMPENI: Soko Litaamua 📢

‎🏘️ Unaamini property yako ina thamani hiyo unayoifikiria?

‎Kila mmiliki ana makadirio yake.
‎Kila dalali ana mipango yake.
‎Kila mnunuzi ana bajeti yake.
‎Kila mpangaji ana uchaguzi wake.

‎Mwisho wa siku...

‎Soko litaamua.

‎👉 Weka nyumba au kiwanja chako kwenye NAPRO App.

‎Tutakichagua na kukitangaza kupitia NAPRO App na kurasa zetu na kukionyesha kwa watu wanaotafuta nyumba au viwanja.

‎Tukikusaidia kupata mnunuzi au mpangaji...

‎Umeshinda.

‎Tusipofanikiwa...

‎Hujapoteza chochote.


‎🙎Nani Anaruhusiwa Kushiriki?

‎🏠 Wamiliki wa Nyumba (FSBO/FRBO)

‎Unauza au unapangisha mwenyewe bila dalali?

‎Tuletee.


‎---

‎🤝 Madalali na Mawakala

‎Una nyumba imekaa muda mrefu bila mteja?

‎Tuletee changamoto.

‎Hatuji kuchukua mteja wako.

‎Tunataka kukusaidia umpate.



‎✍️ Masharti

‎✅ Nyumba au kiwanja kiwe halisi.

‎✅ Bei iwe sahihi.

‎✅ Eneo lielezwe kwa usahihi.

‎✅ Picha ziwe halisi.

‎✅ Hakuna malipo ya kushiriki katika kampeni hii.

‎Iorodheshe property yako kwenye NAPRO  na ipe nafasi ionekane na watu wanaoitafuta.

‎📲 Anza kuorodhesha leo.

‎Tutumie meseji whatsapp: link kwenye bio

28/06/2026

‎🔥 NAPRO KAMPENI: Soko Litaamua 📢

‎🏘️ Unaamini property yako ina thamani hiyo unayoifikiria?

‎Kila mmiliki ana makadirio yake.
‎Kila dalali ana mipango yake.
‎Kila mnunuzi ana bajeti yake.
‎Kila mpangaji ana uchaguzi wake.

‎Mwisho wa siku...

‎Soko litaamua.

‎👉 Weka nyumba au kiwanja chako kwenye NAPRO App.

‎Tutakichagua na kukitangaza kupitia NAPRO App na kurasa zetu na kukionyesha kwa watu wanaotafuta nyumba au viwanja.

‎Tukikusaidia kupata mnunuzi au mpangaji...

‎Umeshinda.

‎Tusipofanikiwa...

‎Hujapoteza chochote.


‎🙎Nani Anaruhusiwa Kushiriki?

‎🏠 Wamiliki wa Nyumba (FSBO/FRBO)

‎Unauza au unapangisha mwenyewe bila dalali?

‎Tuletee.


‎---

‎🤝 Madalali na Mawakala

‎Una nyumba imekaa muda mrefu bila mteja?

‎Tuletee changamoto.

‎Hatuji kuchukua mteja wako.

‎Tunataka kukusaidia umpate.



‎✍️ Masharti

‎✅ Nyumba au kiwanja kiwe halisi.

‎✅ Bei iwe sahihi.

‎✅ Eneo lielezwe kwa usahihi.

‎✅ Picha ziwe halisi.

‎✅ Hakuna malipo ya kushiriki katika kampeni hii.

‎Iorodheshe property yako kwenye NAPRO na ipe nafasi ionekane na watu wanaoitafuta.

‎📲 Anza kuorodhesha leo.

‎Tutumie meseji whatsapp: Link kwenye bio

‎NAPRO – Digital Dalali Without Drama.


17/06/2026

‎🚨 Unakubaliana na hii?

‎Wakati mwingine agent mpya anamshinda agent mwenye miaka 10+ kwenye biashara.

‎Sio kwa sababu anajua zaidi.

‎Bali kwa sababu:

‎✔ anajibu haraka
‎✔ anatumia technology
‎✔ anaonekana online
‎✔ anafollow-up
‎✔ ana njaa ya kufanikiwa

‎Swali:

‎Ni sababu ipi umeiona mara nyingi zaidi?

‎👇 Comment namba yake.

‎NAPRO

‎Digital Dalali Without Drama.


17/06/2026

Feature fulani simple kwenye NAPRO app ambayo inakupa simple poster ya property yako ambayo unaweza kuitupia whatsapp status.

16/06/2026

Dalali, je unajua NAPRO app ina sehemu ya kulist property ambayo mnashirikiana na madalali wenzako? Hakuna haja ya kulist property moja ndani ya NAPRO app na kila dalali akaweka taarifa zake 🙅.

Sasa unajua, anza kuifanyia kazi.

Translation
Agent, do you know NAPRO App has chain feature which you can use to co-list same property with your fellow agents? No need of listing one property inside NAPRO app with different details from each agent.

Now you know, make the most of it.

15/06/2026

🤔 Je wajua NAPRO App ni sehemu ya wewe kututuma tukutafutie property ya ndoto yako ikiwa tu hujaikuta property hiyo kwenye listings zilizopo?

Sasa unajua, fanyia kazi.

👉 Translation
Did you know that NAPRO has a request feature which you can use to request your dream property if you did not find in available listings?

Now you know, make the most of it.

Want your practice to be the top-listed Law Practice in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address

Dar Es Salaam