The Long File Tv
MWEZI BANDIA: JE CHINA KUGEUZA USIKU KUWA MCHANA?
"Mwezi wa bandia," ni mradi uliopendekezwa na kampuni ya anga ya juu ya kibinafsi iliyoko Chengdu, China, kwa lengo la kuangaza miji usiku na kupunguza gharama za umeme.
ANGA LA BLUU HUTOKANA NA NINI ? TIZAMA UJUE ZAIDI.
Mwanga wa jua una rangi mbalimbali, kila moja ikiwa na urefu wake wa wimbi
Rangi ya bluu na zambarau zina urefu mfupi zaidi wa mawimbi, wakati rangi nyekundu na machungwa zina urefu mrefu zaidi wa mawimbi
Hii inamaanisha kuwa mawimbi mafupi (bluu na zambarau) hutawanywa kwa ufanisi zaidi kuliko mawimbi marefu (nyekundu na machungwa)
Kwa mfano, mwanga wa bluu unaweza kutawanywa karibu mara kumi zaidi kuliko mwanga mwekundu chini ya hali sawa za anga
MCHAKATO WA WATIA NIA CCM KUFAHAMIKA JULAI 28 MWAKA HUU
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa kikao cha K**ati Kuu kwa ajili ya kufanya maamuzi ya mwisho kuhusu uteuzi wa watia nia wa ubunge na udiwani kitafanyika Julai 28, 2025.
Taarifa hiyo imetolewa leo Julai 19, 2025, na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi na Uenezi, Amos Makala, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma.
Click here to claim your Sponsored Listing.