GPS/GPRS

GPS/GPRS

Share

25/02/2026

Kufunga GPS kwenye magari ya biashara kunaweza kuleta faida nyingi kwa wamiliki. Hapa kuna baadhi ya faida hizo:

1. *Ufuatiliaji wa eneo la gari*: Unaweza kujua gari yako iko wapi wakati wowote.
2. *Taarifa za muda wa kupaki*: Unaweza kujua muda ambao gari imepaki.
3. *Ufuatiliaji wa muda wa kazi*: Unaweza kujua muda ambao gari ilianza kazi.
4. *Taarifa za kuwashwa/kuzimwa na kupaki*: Unaweza kupata taarifa za haraka kuhusu shughuli za gari.
5. *Taarifa za mwendo mbaya*: Unaweza kuchukua hatua za haraka ili kuzuia ajali.
6. *Ufuatiliaji wa tabia za dereva*: Unaweza kufuatilia tabia za dereva na kuhakikisha usalama.
7. *Kuona live gari yako*: Unaweza kuona hali halisi ya gari yako.
8. *Kukukumbusha matengenezo*: Unaweza kupata taarifa za matengenezo kwa wakati.

Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia namba +255657706545, +255764866402.

15/02/2026

Linda Gari Yako na Fuel Sensor

Fuatilia matumizi ya mafuta kwa uhakisi. Gharama:
- Ufungaji: Sh. 700,000
- Ada ya kila mwezi: Sh. 50,000

Pata taarifa sahihi za mafuta yaliyowekwa, yaliyotumika, na yaliobaki. Karibu

05/12/2025

KWA WAMILIKI WA MAGARI YA BIASHARA
FUNGA GPS NA KUPATA FAIDA ZIFUATAZO;

1.KUJUA GARI IKO SEHEMU GANI.
:
2.KUJUA GARI YAKO IMEPAKI MDA GANI.
:
3. KUJUA GARI IMEANZA KAZI MDA GANI?
:
4.KUPATA TAARIFA YA GARI INAPO WASHWA/KUZIMWA NA KUPAKI.
:
5.KUPATA TAARIFA YA GARI INAPO TEMBEA MWENDO MBAYA.
:
6.KUWEZA KUMUONA DEREVA ANACHO KIFANYA NDANI YA GARI NA NJE YA GARI.
:
7.KUONA LIVE GARI YAKO KWA KUTUMIA CAMERA AMBAYO IPO NDANI YA GARI YAKO.
:
8.KUKUKUMBUSHA KUFANYA MATENGENEZO (service) YA GARI/PIKIPIKI/ AU BAJAJI.
:
9.KUZIMA CHOMBO NA KUWASHA KUPITIA SIMU YAKO

NOTE:UTAPATA RIPOTI ZOTE KWA NJIA YA SIMU AU EMAIL.

TUPIGIE KWA NAMBA +255657706545,+255764866402

Want your business to be the top-listed Business in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

Kigamboni
Dar Es Salaam