DRC - kingdom Embassy

DRC - kingdom Embassy

Share

20/02/2026

MUNGU ALIYE MWAMINIFU
[ NYASAYE MA JA-ADIERA)
>
> Je, umekuwa ukifanya kazi kwa bidii lakini mikono yako haizalishi unachostahili? Umekuwa ukichota maji kwenye gunia?
>
> Jumapili hii pale DRC Kingdom Embassy, Ugombolwa, tunakwenda kuvunja kuta za kizuizi. Kuna upako maalum unaokuja kuifanya mikono yako ianze "Kuzalisha" tena! (YOH 11:44).
>
> 📍 **Mahali:** Ugombolwa, Tabata-Segerea.
> 🕒 **Muda:**Jumapili Saa 3:00-6:30 Mchana.
> 🚀 ** Usikose Mpenyo wako!

13/02/2026

KARIBUNI WATU WOTE HOSPITALI YA MUNGU KWA WATU WOTE IKO WAZI KWA YAKO

Kwa Huduma na maswali zaidi piga
0757024090/0694559599

23/07/2019

Is season of Favor anointing

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

Tabata Segera Kwa Dasi ( Jrani Na Ofisi Ya Serikali Za Mtaa)
Dar Es Salaam