Busati

Busati

Share

08/03/2026

Mpaka hii vita ikiisha tutakuwa tumesikia mengi aiseee 🀣🀣🀣

21/01/2026

House of Love episode 05 πŸ‘‡πŸ‘‡
https://youtu.be/Kf9zMDrhIy0

14/01/2026

Mtihani Mzito sana kwa Candy... Achague pesa au Mapenzi? Mumewe mgonjwa na yeye ndio tumaini, lakini Mtoto wa Boss ametokea kumpenda anahitaji kumuoa. Ukipata nafasi ya kuongea na candy ungemwambia kitu gani?

HOUSE OF LOVE EPISODE 03 IPO YOUTUBE

Photos from Busati's post 06/01/2026

UPO TAYARI KWA SIMULIZI ITAKAYOGUSA MOYO?

Tunawaletea Mzigo mpya kabisa
❀️ HOUSE OF LOVE ❀️

Tambala litakuwa hewani kuanzia πŸ‘‡πŸ‘‡
πŸ“… Tarehe 09.01.2026

Viwango vimezimgatiwa kabisaa!! Ni hadithi ya mapenzi, siri nzito, maumivu, maamuzi magumu na ukweli unaoumiza…
Ndani ya House Of Love, kila upendo una gharama yake,
na kila siri ina siku yake ya kufichuka.

πŸ‘‰ Usikose Episode ya Kwanza
πŸ‘‰ Subscribe, Share & Washa πŸ””
Busati TV – Burudani Bila Kikomo

11/12/2025
08/12/2025

"Sijawahi kuifanya hapo awali, Mwalimu wangu alinilazimisha ” Mvulana wa miaka 16 katika video inayosambaa huko Afrika Kusini akishiriki tendo la ndoa na mwalimu wake ameiambia Polisi.

Je, mwalimu achukuliwe hatua gani za kisheria kwa unyanyasaji wa kijinsia?

07/12/2025

Bado unaamini Rafiki wa Mpenzi wako atakupa siri za Mwenzake? Unaudhulia vika lakini?

Want your business to be the top-listed Media Company in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam
KINONDONI14110