Manyara Sports Management
29/11/2023
CAF CHAMPIONS LEAGUE STANDING 📊….
✍️Baada ya Mechi za Mkondo wa kwanza wa kombe la Klabu Bingwa Afrika na hapo inayoonekana ni misimamo ya makundi yote Manne…
✍️Sasa tunasubiri mechi za mkondo wa pili zitakazopigwa wikiendi hii maana ni za Kibabe kwelikweli…
✍️Mechi iliyo shangaza watu ni ile ya Wydad kupoteza kwa Goli 1 tena nyumbani…
✍️na Timu za Kutoka Tanzania ambao Yanga alipoteza Ugenini kwa Goli 3-0 na Klabu ya Simba walipata Sare ya 1-1 nyumbani dhidi ya Asec…..
29/11/2023
UEFA CHAMPIONS LEAGUE⚽️…..
✍️Usiku wa Mabingwa Ulaya..kweli ule ni Usiku wa Mabingwa maana zilikua ni mechi za Kibabe maana tumeweza kushuhudia Jumla ya Magoli 23…
✍️Hata wale wababe kwa Muda huu ni K**a vile wameonekana kudevela maana kwa mechi tulizozishuhudia Jana Kuna picha tunaipata wacha tuanze hivi…
✍️Mechi ya PSG na Newcastle (Newcastle kuanzia Dakika Ya kwanza walikua wanafanya kila kitu kwa Usahihi Marking,Kukimbia Nyuma ya mabeki wa Psg,Kuwahi zile Second balls ndani ya Box na pale katikati waliweza kuwak**ata sana sema Yule Almiron ni atari) ila sasa Psg inabidi wajitathmini maana wanacheza vibaya sana…
✍️Man City na Rb lezpig Ile mechi Kuna muda kipindi Cha kwanza unaangalia unasema Man City alitakiwa afungwe hata 4 lakini ukatili ukishindwa kutumia nafasi ukaiconvert kua goli ni lazima likukute Jambo na Jambo lenyew Ndio lile COMEBACK Ya maana tunaona baada Ya Goli ni k**a vile Man City waliamka walipolala (FT 3-2)…
✍️Tusubiri tuone na siku Ya Leo itakuaje…lakini Man City bila De bruyne Dah unaionaje Em dondosha coment yako hapo chini tuone mawazo yako….
01/11/2023
AFRICAN FOOTBALL LEAGUE (AFL)⚽️
WYDAD TO THE FINAL…
✍️Klabu ya Wydad Casablanca imetinga hatua ya Fainali African football league kufuatia ushindi wa Penalty 4-5 dhidi ya wenyeji Esperance ya Tunisia…
✍️Wydad ametangulia Fainali akimsubiri Kati ya Mamelod na Al Ahly Leo hii….
African Football League
Click here to claim your Sponsored Listing.