maishuu_electronics
21/06/2024
TUNA OFFER YAKO LEO... HII HAIJAWAHI KUTOKEA HATA SIKU MOJA.
"Huduma ya Electric fence ni huduma rafiki sana kwa mazingira yako kuwa katika usalama mzuri kwa kila mvamizi au mporaji. Ukubwa wa Gharama ya huduma katika kuimarisha usalama wako na familia hauna thaman sana kuliko USALAMA WENYEWE.
Wengi wanadharau jambo hili hata nia hawanalo moyoni mwao lakini umuhimu wake wanakuja kuutambua baada ya kupata majanga au misukosuko.
WAZAZI AU WALEZI WAZURI ni wale wenye kuzipa familia zao haki na wajibu stahiki ikiwemo Amani yao, Usalama wao, na kuwalinda kutokana na kila aina ya madhara na misukosuko yenye kuepukika....Kinga ni Bora kuliko Tiba.
Wasiliana na maishuu_electronics tukufungie ELECTRIC FENCE Kwa bei rafiki na rahisi sana na matumizi ya umeme ni madogo sana sana kwa mwezi...
1.Si rahisi kuuruka ukuta au kuugusa waya wa fence ni UZIO kwa wavamizi au wezi au vibaka..hii ni kiboko.
2. Akiukata au kuugusa kitalia king'ora kwa sauti kubwa sana tena sana.
3.Umeme ukikatika bado fence itaendelea kufanya kazi k**a kawaida
4.VIFAA vyote havishiki kutu,Ni ALUMINIUM 100% PURE...Tunaanzia Line 8.
5.Hakuna nguzo itakayopinda au kuchomoka au kulegea kwa waya
6.Hakuna upotevu wa Power kwenye fence,nguvu ni ileile ole wao waje waguse au kukata waya usiku wataonja shubiri ya maumivu
7.Tunakupa warranty wa miezi18 kwa ubora wetu, chochote kitachohitaji marekebisho tutakuja bure kukurekebishia.
8.Gharama nafuu ubora ni NAMBA moja ndio maana guarantee 💯 😂.
9.Usafi wa Kazi na mpangilio pamoja na ubunifu ndio kimbilio letu.
10.Ni wafanyakazi wabobevu,wajuzi na wenye taaluma ya IT, Telecommunication, Electric na ELECTRONICS engineering n.k
11. Je unahitaji na zawadi??? Tupigie leo kabla ya offer kuisha...Kuna offer za CCTV CAMERA NA video Door Phone na Gate Motor.Je ni zipi hizoooo....TUPIGIE LEO Tushauriane tukusaidie
Ofisi zetu zipo TABATA KINYEREZI MWISHO
DAR ES SALAAM
0714 890 944...
🇹🇿
https://www.instagram.com/p/CnhGfDQt7TK/?igsh=MWZlNmZtcDlka2I2NQ==
10/04/2024
Tunawatakia waislamu woote nchi nzima na dunian kwa ujumla EID MUBAARAQ...
Endelea kiwa nasi katika kuhakikisha usalama wa mazingira yake yanaimarishwa zaidi
25/01/2024
Huna sababu ya kushindwa kufanya kazi na maishuu_electronics sababu ni kampuni yenye kujiamini katika utendaji wake hasa katika swala Zima la ubora na uaminifu katika kazi zetu.
Tupe kazi UONE KAZI ZETU, Hatubabaishi katika kutekeleza majukumu yetu ya kila siku katika kuhakikisha nyumba za wateja wetu zinabaki salama siku zite.
ELECTRIC FENCE NDIO MPANGO MZIMA WA KUHAKIKISHA WANAO WANABAKI SALAMA.
WASILIANA NASI LEO KWA
0714 890 944 AU 0768 401 161
KINYEREZI MWISHO
KAZI MIKOA YOTE.
........
🇧🇮🇨🇵 🙌🙌🙌🙌🙌
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 18:00 |
| Tuesday | 08:00 - 18:00 |
| Wednesday | 08:00 - 18:00 |
| Thursday | 08:00 - 18:00 |
| Friday | 08:00 - 18:00 |
| Saturday | 08:00 - 18:00 |
| Sunday | 08:00 - 18:00 |