Kilimo Na Super Gro Kinalipa

Kilimo Na Super  Gro Kinalipa

Share

02/05/2026

Super Gro ni jibu kwa mkulima.
Unataka kwa matumizi binafsi?
Au unataka kuingia ubia na kampuni kufanya biashara/ kuwasambazia wengine?
Call/WhatsApp 0765019606

30/04/2026

Unahitaji kwa matumizi binafsi au unahitaji kuingia ubia upate kwa bei ya jumla na wewe uuze wasiliana nasi kwa 0765 019 606
Tutakupa muongozo na mzigo utakufikia popote ulipo.

28/02/2026

*SUPERGRO NI NINI??..*

Ni Mbolea Asilia (Organic) Ya Maji Yenye Virutubisho Vyote Muhimu kwaajili Ya Mimea

Inatumika kwenye Mimea aina zote *Kupandia, Kukuzia* na *Kubebeshea*

Mbolea hii imekuwa Maarufu Duniani na Afrika Mashariki kwani imewasaidia wakulima Wengi Kuongeza Mazao na kupunguza gharama za Kilimo hasa Madawa na Mbolea.

*VILIVYOMO*
1. *Nitrogen* 7.5%N
2. *Phosphorus* 4.7%P
3. *Potassium* 4.7%K
4. *Zinc* 0.1%Zn
5. *Calcium* 0.8%Ca

*SUPER GRO IMEWEZA KUJIBU CHANGAMOTO ZA WAKULIMA K**A VILE:*
🕳️ Mvua haba.
🕳️ Mazao hafifu.
🕳️Udongo ulioishiwa rutuba.
🕳️Wadudu na magonjwa
🕳️ Gharama kubwa za pembejeo.
🕳️Masoko ya mazao Yao (Mazao Bora na Yasiyo na Kemikali Sumu)

*KAZI NA FAIDA SUPER GRO*
✅ *Inarejesha rutuba kwenye ardhi* iliyolimwa sana au Kuharibiwa na Mbolea Kali

✅ *Inaongeza Uwezo wa Udongo Kutunza Unyevunyevu,* hata wakati wa jua kali sana bado mimea yako itakuwa imara na haitasinyaa k**a umepuliza Super Gro

✅ *Inalainisha Udongo na Kuisaidia Mizizi Ya Mimea Kupenya Chini Zaidi Mpaka Tabaka l

02/09/2025

Tuko bado kwenye msimu wa ofa tupigie,
0765019606

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Mwenge Mpakani
Dar Es Salaam