Sun King

Sun King

Share

10/06/2026

Je, wewe uko Max tayari au bado? 😎

Pata HomePlus Max + TV na usikose matukio muhimu ya mchezo!πŸ’ͺ🏾⚽️

HomePlus Max sasa zinapatikana kupitia www.tz.sunking.com

05/06/2026

Mpira umerejea! πŸ€ΈπŸΎβ€β™€οΈ
Kuanzia filimbi ya kuanza hadi ya mwisho… kila dakika ni muhimu, na tunataka uwe sehemu ya kila tukio kupitia Sun King HomePlus Max + Sun King TV! 😎😎

Huu ndio msimu wako wa burudani bila kukosa hata dakika moja ya mchezo.
Tuma ujumbe (DM) kupata yako mapema kabla timu unayoishabikia haijaingia uwanjani! ⚽️

03/06/2026

Tunaposema usikose matukio, tunamaanisha NYAKATI k**a hizi! ⚽πŸ”₯

Sun King HomePlus Max + Sun King TV zitakufanya ujisikie k**a uko moja kwa moja uwanjani ukifuatilia kila tukio kwa ubora wa hali ya juu. πŸ˜πŸ‘Œ

Jiandae kwa michuano sasa! βš½πŸ†

Tuma ujumbe (DM) kununua kwa malipo kidogo ya awali, kisha ulipe kiasi kilichobaki kidogo kidogo kwa bei nafuu.

22/05/2026

Baada ya takribani wiki mbili, tutaingia kwenye msimu mkubwa zaidi wa mpira wa miguu kuwahi kutokea! πŸ™ŒπŸΎπŸŽ‰πŸ₯³
Kabla filimbi haijapulizwa, kabla ya shamrashamra, kabla ya ushindi… jiandae kuwa tayari kwa mechi! 😎

06/05/2026

Sehemu nzuri yenye mwanga kwa ajili ya kujisomea huleta utofauti mkubwa!πŸ“š
HomePlus Max inaweza kuwasha kompyuta yako ndogo na vifaa vyote unavyohitaji ili kusoma bila kukatizwa kwa kelele au mwanga hafifu. πŸ’‘

Ili kununua kwa pesa taslimu au kwa urahisi, agiza kupitia sunking.com au tutumie DM.

Want your business to be the top-listed Engineering Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

Arusha

Opening Hours

Monday 07:00 - 23:00
Tuesday 07:00 - 23:00
Wednesday 07:00 - 23:00
Thursday 07:00 - 23:00
Friday 07:00 - 23:00
Saturday 09:00 - 21:00
Sunday 09:00 - 21:00