Mallya BIMA
15/03/2025
Kindly follow our Page.
Naomba usisahau Kulike, comment na kushare Kwa wengine pia.
Asante
Bima ya Moto/ FIRE INSURANCE
Bima ya moto ni bima inayolinda dhidi ya hasara zinazotokana na majanga ya moto.
Maafa ya moto yanaweza kutokea wakati wowote, na inapotokea, huleta hasara kwa jengo hilo pamoja na Vilivyopo Ndani ya Jengo Husika.
Tupigie Kwa Huduma zaidi
MOSHI-+255 769 077 360
DAR ES SALAAM-+255 755 562 090
ARUSHA - 0624 831 076
07/10/2024
Kheri ya Wiki ya Huduma Kwa Wateja! Asante kwa kuwa mteja wetu wa thamani, Ahadi yetu ni kuendelea kukupatia huduma bora.
Kwetu sisi BIMA ni Elimu na Fidia
Karibu Sana Kwa Huduma za BIMA na LATRA 🙏🏾
03/09/2024
TEMBELEA OFISINI KWETU KWA HUDUMA ZIFUATAZO
BIMA ZA VYOMBO VYA MOTO {MOTOR INSURANCE}
-Bima Kubwa & Bima Ndogo
Bima Kwa Bidhaa zinazosafirishwa{Goods In Transit}
Nyumba na Mali zilizopo ndani {Domestic Package}
* Credit Insurance
* Contractors All Risk
Bila kusahau Huduma Ya *LATRA* Kwa Magari ya ABIRIA na Mizigo
25/08/2024
Hello 👋 Boss
Week Mpya Inaanza Sasa! JE UMEKUMBUKA KUANGALIA UHAI WA BIMA YAKO???
Usalama wa kesho yako unaanza kujengwa leo! Ukiwa na Uhakika wa BIMA Hai Kwa Matumizi Ya Chombo CHAKO
Jihakikishie usalama wa majanga mbalimbali, iwe NYUMBA, VIFAA VYA NDANI au GARI. Uvimbe kitaa Bila Wasiwasi wowote
Tembelea tawi letu lililopo karibu yako, uanze kuenjoy maisha bila stress,Au Wasiliana Nami Kwa Huduma Zaidi Popote Ulipo
Kwa Huduma za BIMA na LATRA sisi ndio Wenyeweee!
0624831076
18/08/2024
Habari.
Napenda kuwajulisha kuwa natoa Huduma za bima/Insurance za vyombo vya moto Yaani MAGARI, Pikipiki, Bajaji, na tractor.
Bima za moto, Wizi, Bond, Contractors All Risks na nyingine nyingi.
Utapata Huduma ya Bima popote ulipo Tanzania bara na Zanzibar.
Na nitakutumia document zako Kwa njia ya Email au Whatsapp ndani ya dk 5 tu baada ya kulipia Bima yako.
Kumbuka malipo utayafanya Kwa njia ya Control number, MPESA kupitia Laini yako ya Vodacom au Kwa Bank account wewe mwenyewe. Njia Hii Ya M PESA haina Makato
Karibuni niwapatie Huduma.
Unachotakiwa kufanya ni kunitumia copy ya Kadi ya Gari lako, kupitia Whatsapp au email ili niweze kuandaa bima yako.
Kwa maswali zaidi nicheck INBOX. Watsap No
+255 624 831 076
🙏🏻🙏🏻
17/08/2024
FAHAMU BIMA KUBWA INAKULINDA NA MAJANGA YAPI
✔️Bima kubwa Inakulinda na Majanga Yafuatayo:
1. Ajali yoyote inayotokea main Road na kwenye Parking
2. Ajali zinazotokana na Majanga ya Asili (natural Disasters) mfano mti / Ukuta kuangukia chombo chako
3. Ajali za moto
4. Tetemeko la Aridhi
5. mafuriko
6. wizi wa chombo chako , pia na wizi wa vifaa kutoka kwenye chombo chako
7. thirdparty liabilities zozote, k**a Kumgonga Mtembea kwa miguu, kusababisha Kifo, kusababisha Hasara za Mali ya mtu mwingine
Nk.
Karibu Kwa Huduma za BIMA na LATRA,KWETU BIMA ni ELIMU & FIDIA
Mallya BIMA
0624831076
13/08/2024
BIMA & LATRA
Hello 👋
Ni Week Mpya Inaanza! Anza week Mpya Kwa Tabasam na Furaha ukiwa na Uhakika wa BIMA kutoka Kwetu.
JE UMEKUMBUKA KUANGALIA UHAI WA BIMA YAKO???
Najua Umesahau Sasa Basi Nitumie Namba Yako Ya Gari au Bajaji,Guta, Pikipiki Nikuangalizie Bima Yako inaisha Lini.
Kwetu sisi BIMA ni ELIMU & FIDIA
KARIBU KWA BIMA
BIMA KUBWA{Motor Comprehensive insurance}
BIMA NDOGO { Motor Third party Insurance}
Bila kusahau Huduma za LATRA Kwa Magari Ya Abiria na Mizigo
Huduma Zote hizi Utazipata Popote Ulipo! Ndani ya Dakk 5 tu
ULIPO TUPO
_HUDUMA ZA BIMA ZENYE UHAKIKA_
Click here to claim your Sponsored Listing.