Fuga by Primax

Fuga by Primax

Share

16/01/2026

Fuga App inakusaidia kupunguza gharama ya Chakula cha kuku kwa kukupa ratiba ya chakula kulingana na idadi na umri wao

Pakua Fuga App Leo Playstore https://play.google.com/store/apps/details?id=com.primaxtz.fuga

14/12/2025

Una Swali, Kuna sehemu imekuchanganya?

Fungua Fuga App ---->Bonyeza Settings--->Maoni na Ushauri

Tunakusikiliza maana Fuga App imejengwa pamoja na wafugaji

10/12/2025

Usiruhusu Broiler wako wadumae au layers wako wachelewe kutaga kwasababu ya kukosa taarifa sahihi shambani kwako

Fuga app inakupa muongozo na mafunzo kuhusu Ufugaji wa Kuku hatua kwa hatua

Pakua Fuga App Leo Playstore

08/12/2025

Anza Wiki Kwa Ushindi

Ukiwa na Fuga App unaweza kusimamia Shamba lako la kuku kwa urahisi,utapata

- Ratiba ya Chakula ya Kila siku kulingana na umri , idadi na aina ya Kuku
- Calculator itakayokusaidia kujua gharama na vifaa vinavyohitajika kabla ya kuanza Kufuga
- Mafunzo kuhusu Ufugaji bora wa Kuku
- Kukumbushwa Chanjo siku moja kabla kupitia SMS
- Kurekodi Matumizi na Mauzo Kiurahisi na Kidigitali
- Kufahamu hasara na Faida kwenye Ufugaji wako wa Kuku

Basi Pakua au Update Fuga Leo kutoka Playstore,uboreshe Ufugaji wako wa Kuku

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.primaxtz.fuga

28/10/2025

Unaanza au tayari unaendelea na ufugaji wa kuku? Maswali yako yote yana majibu ndani ya Fuga App!

Panga bajeti Rekodi matumizi Kumbushwa chanjo, Hesabu chakula kwa usahihi

Pakua Fuga App Leo Playstore

27/10/2025

Habari Mfugaji,Heri ya Wiki Mpya ya Mapambano

💚 Tunafurahia kukuona ukifanikiwa, kwa sababu wewe ndiye unalisha taifa! 🐔🇹🇿

Kumbuka, unapohifadhi matumizi na mauzo yako kwenye Fuga App, unapata uchambuzi sahihi wa *faida na hasara* kwa *urahisi sana* zako na kujua wapi pa kuboresha ili kukuza biashara yako zaidi! 📊

22/10/2025

Unapanga kuanza ufugaji wa kuku? 🐔
Kabla hujaanza, kuna mambo muhimu lazima uyajue — soko lako, bajeti, banda, na bei ya bidhaa zako.
Na kupitia Fuga App, unaweza kupanga bajeti yako vizuri, kurekodi matumizi, kujua k**a unapata faida au hasara, na kuuza kwa bei sahihi.

💡 Pakua Fuga App leo Playstore uanze kufuga kwa uhakika na faida zaidi!

21/10/2025

Kitu kimoja kuhusu Ufugaji wa Kuku kwamba... ni biashara yenye faida sana. Unahitaji tu kujua jinsi ya kuifanya vizuri.

Ndiyo maana tumeunda Fuga App - kufanya ufugaji kuwa rahisi na wenye faida

Pakua Fuga App Leo Playstore usismamie Shamba Lako la kuku Kiurahisi

Photos from Fuga by Primax's post 18/03/2025

Uzushi gani umewahi kusikia?

Photos from Fuga by Primax's post 13/03/2025

Kuku au ya - nini kilikuja kwanza? Piga kura hapa!
🐔 = Kuku
🥚 = Yai

Photos from Fuga by Primax's post 12/03/2025

Hizi ndio aina tatu za kuku ,unaweza kufanya makadirio ya gharama zao kupitia tovuti yetu ya www.primaxtz.com kisha bonyeza 'Fanya Makadirio hapa'

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address

UsaRiver Near Rivertrees Country Inn
Arusha
23301

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 16:00