Maties Collection
09/03/2023
Linapokuja suala la my skin treatment i have no joke for that coz i have been suffering from Melasma for years🥺🥺🥺🥺, wanaonifahamu wanajua vizuri, na hii kitu bana asikwambie mtu ni ngumu mno kutreat and expensive as well so pamoja na products nyingine nyingi ninazotumia lakini 'The Ordinary' ni mojawapo ya products zinazonisaidia mnooo...so nikizibamba kwenye store huwa nafanya kuzizoa kabisa.
Haya anaepitia changamoto ya melasma k**a mimi anaweza kunicheck kwa namba yangu
+44 7770 164969
Pamoja na kushare my experience na proper way of treatment, we can go through this journey together.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Arusha
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |