Zoom Polytechnic Institute
TANGAZO LA ELIMU:
Je wajua wapi umpeleke mwanao mhitimu kidato cha iv akasome kozi zenye fursa ya ajira?.
Ni chuo; zoom polytechnic institute pekee, chuo kilichosajiliwa na nacte pamoja na veta kwa no ya usajili nacte ; REG/BTP/080P na veta; VET/KGR/PR/2018/C/058
Chuo kipo bukoba manispaa mtaa wa kafuti barabara iendayo bandarini kastamu.
Chuo kinakutangazia muhula wa masomo unao tarajia kuanza tarehe 3/01/2019. Ktk masomo yafuatayo:
ICT – Information and communication Technology- NVA level I-III
BOA – Business operation assistance (masomo ya biashara na uhasibu) –NVA Level I-III
SECRETARIAL DUTIES.
SIFA ZA KUJIUNGA NA KOZI TAJWA HAPO JUU NI MHITIMU KIDATO CHA IV Mwenye ufaulu kuanzia D”2” ktk matokeo ya kidato IV, na Muda wa masomo mwaka mmoja na Miezi Sita.
Mhitimu ktk chuo Zoom atakuwa na sifa ya Kuajiliwa na serikali au taasisi binafsi, Atakuwa na sifa ya kujiendeleza Zaidi ktk masomo ya ATEC yanayosimamiwa na Board ya Accountants & Auditors (NBAA). Au kuendelea na Diploma.
Pia chuo kinatoa mafunzo ya computer kwa wahitimu wa kidato cha nne wanaosubiri matokeo kwa gharama nafuu.
Vilevile chuo kinakutangazia muhula mpya wa masomo kwa ngazi ya NACTE unaotarajia kuanzia tarehe 15 January 2019 kwa ngazi ya Cheti na Diploma, katika kozi zifuatazo:
i) Basic Technician Certificate in Business Administration.
ii) Technician Certificate in Business Administration.
Mwombaji awe amehitimu kidato cha IV na awe anaufaulu usiopungua vipindi 4.
Mwisho wa kupokea maombi ya kujiunga na chuo kwa ngazi ya NACTE ni tarehe 20 February, 2019 na masomo yataanza tarehe 5 mwezi wa tatu 2019.
Sifa za Mhitimu katika chuo ZOOMAtakuwa na sifa;
• Kuajiliwa kwenye idara za ( uhasibu na fedha , manunuzi au mauzo na masoko)
• Atakuwa na sifa ya kuendelea na elimu ya chuo kikuu baada ya kuhitimu diploma chuoni kwetu ZOOM polytechnic institute
Ni zoom polytechnic institute pekee chuo chenye kukamilisha ndoto yako ya kielimu.
Fomu za kujiunga: Chuoni Bukoba Municipal,karagwe: Nkwenda Mababu Stationary-karibu na bushangaro gest house, Kayanga; Redio Karagwe, keneth kato electronics au mr k. Majengo ya nanenane karibu na kayanga shule ya msingi.
KWA MAWASILIANO ZAIDI:-
kwa maelezo zaidi wasiliana na uongozi wa chuo kupitia namba:- 0767624932/0769021480/0621602317/0788486724 au tembelea tovuti ya chuo
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Arusha
255
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 20:00 |
| 21:00 - 22:00 | |
| Tuesday | 08:00 - 20:00 |
| Wednesday | 08:00 - 20:00 |
| Thursday | 08:00 - 20:00 |
| Friday | 08:00 - 20:00 |
| Saturday | 08:00 - 20:00 |