Elimu Yetu Media

Elimu Yetu Media

Share

Photos from Elimu Yetu Media's post 05/06/2026

Karibu tucheze pamoja na tufurahi.

01/05/2026

Ninapenda, Ninaweza ,Nitafanya, Najiamini 💪

Photos from Elimu Yetu Media's post 15/04/2026

Ingizo jipya la wanafunzi wakiwa wanapokea mafunzo kutoka kwa wakufunzi
Ninapenda, Ninaweza, Nitafanya, Najiamini

28/03/2026

Congratulations to all students 1st intek of 2026
"Nina weza,Ninapenda, Nitafanya, Najiamini"

Photos from Elimu Yetu Media's post 25/03/2026

Elimu Yetu Library Launch on Thursday 12th February 2026 at Shule ya Msingi Kijenge.
Uzinduzi wa maktaba ya shule sio tukio la kufungua chumba cha vitabu pekee; ni k**a kuwasha taa ya maarifa, utamaduni wa kusoma na kuamsha moyo wa ujifinzaji.
Feed your Mind - Ilishe Akili yako
i love, i can, i will do, i have confidence - Ninapenda, ninaweza, nitafanya, najiamini.

19/03/2026

Come let's celebrate the success of our youth and witness the new stage of their lives!( Njoo tushereheke mafanikio ya vijana wetu na kushuhudia hatuw mpya ya maisha yao.)

Photos from Elimu Yetu Media's post 14/03/2026

Mkufunzi wa Electric Installation akitoa mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi . Hapa vijana wanajifunza ujuzi wa umeme kwa vitendo ili kujenga uwezo wao wa kujitegemea na kujiamini katika taaluma zao.
Kauli mbiu yetu: Ninaweza, Nitafanya, Naji­amini.

12/03/2026

Wanafunzi wa ushonaji wakiwa darasani wakijifunza mitindo tofauti tofauti na kudarizi karibu Elimu yetu kwa ujuzi na maendele ya sayansi na tekinolojia. "Ninapenda , ninaweza nitafanya najiamini"

12/03/2026

Connect idea, Smart robot & better future

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

97 Tindigani
Arusha
23110