Paraprofessional Animal Health Service
Reminder...
All livestock keepers should do direct, close, and frequent surveillance of their farm animals. This will enhance to a prompt diseases diagnosis in case of animal health but also justifing accurate levels of production in case of production.
Ukumbusho...
Wafugaji wote mnatakiwa kufanya ukaguzi wa moja kwa moja, karibu na mara kwa mara kwa wanyama mfugao. Hii itaongeza uharaka wa utambuzi wa magonjwa iwapo katika maada ya afya ya wanyama mfugao lakini pia kuhalalisha usahihi wa viwango vya uzalishaji iwapo katika maada ya uzalishaji wa mifugo.
All this to bring about productivity in the field of livestock keeping.
Yote hii ilikuleta ufugaji wenye tija katika uwanja wa ufugaji.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha
464700392013