Simbeye KINGS Ministry

Simbeye KINGS Ministry

Share

24/02/2025

NDOA K**A MTEGO...
Naye Sauli akasema moyoni, Mimi nitamwoza huyu, awe mtego kwake, tena kwamba mkono wa Wafilisti uwe juu yake. Basi Sauli akamwambia Daudi mara ya pili, Leo utakuwa mkwe wangu.
1 Samweli 18:21

NDOA NYINGI SANA LEO WATU WANALAUMIANA BILA KUJUA KUWA WALIINGIA KWENYE MFUMO WA ADUI...

FUATANA NAMI KUANZIA KESHO
KUPITIA 97.7 HABARI MAALUM FM

SAA 3:45 - 4:45 ASUBUHI

13/11/2024

HUWEZI KUPELEKWA JANGWANI UKIWA PEKE YAKO.

Kisha Yesu *alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi* .
Mathayo 4:1
Kile wengi hawajui na ndicho shetani huchukulia k**a ushindi ni kuwa hata tuwe JANGWANI Bado Roho Mtakatifu yupo.

Lakini pia, JANGWANI ni mahali pa kupita tuu.
Usikubali kuweka kambi JANGWANI.
Usikubali kufikia JANGWANI.
Unapokuwa JANGWANI Kuna sauti tatu.
Yakwako, Ya shetani na Ya Mungu.
Kile unatakiwa kufanya JANGWANI ni kile Yesu alifanya.. IT'S WRITTEN*

29/10/2024

BWANA YESU ASIFIWE SANA MPENDWA...

PASTOR LIZ AND SIMBEYE KINGS, TUNAKUKARIBISHA KUSHIRIKI SADAKA HII KWA AJILI YA KIWANJA CHA KANISA.

Namba ni M-PESA: 0745900025
JINA: HEALING WORSHIP CENTRE

ASANTE KWA KUTUAMINI NA MOYO WAKO WA UPENDO.
Unaweza kushirikisha wengine pia baraka hizi.

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

USA/RIVER
Arusha
267