Travel Partner Arusha

Travel Partner Arusha

Share

Nearby travel agencies

Jovial Safaris
Jovial Safaris
Arusha/

Photos 17/08/2016

Travel with us

Photos 18/05/2016

TRAVEL PARTNER WANAKUFIKISHA HUNA AJA YA KUKOSA TAMASHA KUBWA LA MUZIKI NA UJIO WA TANZANIA

PIGA SIMU 0767888472 UFANYE BOOKING SASA.

Safari ya Rock city tour itaanzia Mlimani city - Dsm tar 19 May saa 6 Mchana kwenda Mwanza mdogomdogo tukipitia mikoa ya Pwani, Morogoro, Dodoma, Singida na Shinyanga. Tutakuwa na rock city town tour siku ya tar 20 na 21 mchana na mapumziko ndani ya Hotel ya nyota tatu, kisha tar 21 ndo tutajumuika na wana kwenye JEMBEKA FESTIVAL 2016 kuwashuudia NEYO na DIAMOND pamoja na wasanii wangine wengi wakifanya yao kwenye TAMASHA kubwa zaidi la Music Africa mashariki na tar 22 May tutaanza safari ya kurudi home Bandari Salama-Dsm.

Kwa Tsh 400,000 au (200$) ikijumuisha
1. Usafiri wa kitalii kwenda na kurudi
2. Malazi katika hoteli ya nyota 3
3. Kutalii mji wa pamoja na visiwa vyake (saanane)
4. Kiingilio cha V.I.P Kwenye Jembeka festival 2016

Kufanya booking yako sasa piga
Sanura: 0767888472
Issa: 0767888391

Au kwa taarifa zaidi tembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii.
Instagram: .partners
Facebook: Travelpartner limited

Au barua pape: [email protected]

www.travelpartner.co.tz

Book sasa nafasi ni chache
partners .partners .partners

Photos 14/05/2016

Book safari with travel partner you will never be alone.

Want your business to be the top-listed Travel Agency in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address

P. O. Box
Arusha
24449