Bongo24/7.Com
12/04/2026
K**a Simba SC ni mbovu sababu ni wale mashabiki wanajifanya wafia timu. Wakati wanaendelea kwenda uwanjani wanawapa moyo viongozi kwa matokeao mabaya. Ni vizuri kuonesha kutoridhishwa Kwa kususia kwenda uwanjani ili kuwapa viongozi presha ya kuboresha timu kuwaadhibu wazembe ndani ya timu na kuwatoa wasaliti miongoni mwao.
09/04/2026
K**a Kuna Mtu Bado anafikiria Simba ni timu ya mpira basi ni punguani.
Simba SC k**a hamuezi kujipambania Kwa marefa sisi mashabiki tutawapa pole na kususia mechi zenu ili msije kusema tunawapa hasara Kwa kufanya furugu Kwa waamuzi. Muda mwingine tatizo likizidi mnaacha kutumia busara ili kosa lirekebishwe. Hatuoni faida ya picha za Azam tv za marejeo. Hatuoni faida ya wazaidizi wa refarii au hata refarii mwenyewe. Sisi mashabiki tutawapa lawama zote maana mnaangalia mifuko zenu huku tukikosa furaha ya kushabikia timu hii. Hakuna tunachonufaika Kwa timu hii k**a hakuna ushindi wa makombe au ushindi kwenye mechi kubwa k**a hizi Darby. hakuna haja ya kujitahidi mwisho wa siku unadhulumiwa tena mara kibao alafu unaendelea kusema ipo siku, tutafanya hivi au hatufanya vile. K**a hamna maamuzi ya umoja kwenye club basi mtaonekana hamna maana. Hatujamuona mwenyekiti wa klabu akionesha kutopendezwa na na maamuzi hayo. Hatumuoni MO akisikitikia matendo hayo Wala hata klabu wakionesha matukio yasio mazuri ya marefa. Wanatuachia sisi mashabiki kupost na kulalamika Cha ajabu wao wanatiana moyo kwamba hamna shida, wao wanaendelea kufuga ubaya wakidhani siku Moja watajibiwa Kwa haki. Ni jazba kubwa na fedheha Kwa mashabiki, tunaitaji viongozi wa kuhoji na kutaka shuluhisho.
Kila kitu kina mwisho wake na madhara ya kupanda mbegu mbovu ni kufunga hasara.
Waamuzi wetu wamekuwa wakipewa maelekezo na wakati mwingine wamekuwa wakitishiwa nje ya uwanja sasa wameamua kufanya hivyo ndani ya uwanja.
19/03/2026
Itakuwa maajabu taifa lolote kushiriki michuano haya. Tanzania yafaa kuwa ya kwanza kuwaunga mikono Senegal I kutoshiriki michuano haya.
01/03/2026
Hapo wale viongozi wa Simba hawatafanya lolote zaidi ya kuja kutuambia tunadhulumiwa. Simba ni timu ya kinyonge watapiga kimya.
Click here to claim your Sponsored Listing.