Recoda Tanzania

Recoda Tanzania

Share

Photos from Recoda Tanzania's post 29/05/2026

β€œNOURISH TANZANIA – USALAMA WA CHAKULA, LISHE BORA NA KILIMO HIMILIVU”

🌱✨ Kupitia maadhimisho ya Siku ya Mkulima – Farmers’ Field Day, tunaendelea kushuhudia hatua muhimu katika kuimarisha afya, lishe bora na ustawi wa jamii kupitia shughuli zilizofanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, mkoani Manyara.

Wakulima na wananchi walipata fursa ya kujifunza kwa vitendo kuhusu kilimo bora na lishe, pamoja na namna ya kuviunganisha ili kuboresha usalama wa chakula na afya za familia zao. 🌾πŸ₯—

Kupitia elimu iliyotolewa, wananchi wameendelea kujengewa uwezo wa:
βœ… Kuzalisha mazao yenye lishe bora
βœ… Kuboresha mlo wa familia
βœ… Kuongeza usalama wa chakula nyumbani
βœ… Kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi

Mradi wa NOURISH Tanzania unatekelezwa kwa ushirikiano wa SNV, Farm Africa, RECODA, MIICO na T-MARC kwa ufadhili wa NORAD.

🀝 Kwa pamoja tunaweka msingi wa Tanzania yenye:
🌿 Familia zenye afya bora
🌿 Chakula cha kutosha na chenye lishe
🌿 Wakulima imara wenye uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

πŸ’¬ JE, UNAAMINI KILIMO NA LISHE VINAWEZA KUBADILI MAISHA YA JAMII?

πŸ‘‡ Tuambie maoni yako hapa chini
πŸ‘ Like k**a umehamasika
πŸ“€ Share kuwafikishia wengine ujumbe huu muhimu
πŸ“² Na usisahau kufuatilia ukurasa wetu kwa taarifa, mafanikio na simulizi zaidi za mabadiliko chanya kwenye jamii.

β€œNOURISH TANZANIA – FOOD SECURITY, IMPROVED NUTRITION AND CLIMATE-RESILIENT AGRICULTURE”

🌱✨ Through the celebration of Farmers’ Field Day, we continue to witness important progress in strengthening health, nutrition, and community well-being through activities carried out in Hanang District Council, Manyara Region.

Farmers and community members had the opportunity to learn practical approaches to improved agriculture and nutrition, as well as how to integrate the two to enhance food security and family health. 🌾πŸ₯—

Through the training provided, communities are continuing to build their capacity to:
βœ… Produce nutritious crops
βœ… Improve family diets
βœ… Strengthen household food security
βœ… Cope with the impacts of climate change

The NOURISH Tanzania Project is being implemented through a partnership between SNV, Farm Africa, RECODA, MIICO, and T-MARC with funding support from NORAD.

🀝 Together, we are laying the foundation for a Tanzania with:
🌿 Healthier families
🌿 Adequate and nutritious food
🌿 Resilient farmers capable of adapting to climate change

πŸ’¬ DO YOU BELIEVE AGRICULTURE AND NUTRITION CAN TRANSFORM COMMUNITIES?

πŸ‘‡ Share your thoughts in the comments below
πŸ‘ Like if you feel inspired
πŸ“€ Share to spread this important message
πŸ“² And don’t forget to follow our page for more updates, success stories, and inspiring community transformation journeys.

23/05/2026

HIGHLIGHTS

🌱✨ MPWAPWA YANG’ARA KWA KILIMO, LISHE NA AFYA YA JAMII!

Kupitia Mradi wa NOURISH Tanzania, wakulima wa vijiji mbalimbali vya Mpwapwa wanaendelea kupata elimu ya kilimo himilivu, lishe bora na afya ya jamii kupitia Mashamba Darasa (Demo Plots), Siku ya Mkulima (Farmer Field Day) na Siku ya Afya na Lishe ya Kijiji (Village Health & Nutrition Day). 🌾πŸ₯—

Kuanzia mashamba darasa ya mtama na alizeti hadi mafunzo ya lishe na upishi wa vyakula vya makundi sita ya chakula, jamii inawezeshwa kujenga maisha bora, afya njema na ustawi endelevu. πŸ‘¨πŸ½β€πŸŒΎπŸ‘©πŸ½β€πŸŒΎβœ¨

Mradi wa NOURISH Tanzania unatekelezwa kwa ushirikiano wa SNV, Farm Africa, RECODA, MIICO, na T-MARC kwa ufadhili wa NORAD.

Kwa pamoja tunaweka msingi wa Tanzania yenye familia zenye afya, chakula cha kutosha na wakulima wenye uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. πŸŒπŸ’š

🌱✨ MPWAPWA SHINES THROUGH AGRICULTURE, NUTRITION, AND COMMUNITY HEALTH!

Through the NOURISH Tanzania Project, farmers from different villages in Mpwapwa continue to receive training on climate-resilient agriculture, proper nutrition, and community health through Demo Plots, Farmer Field Days, and Village Health & Nutrition Days. 🌾πŸ₯—

From sorghum and sunflower demonstration farms to nutrition education and cooking sessions featuring all six food groups, communities are being empowered to build better livelihoods, healthier families, and sustainable development. πŸ‘¨πŸ½β€πŸŒΎπŸ‘©πŸ½β€πŸŒΎβœ¨

The NOURISH Tanzania Project is implemented in partnership with SNV, Farm Africa, RECODA, MIICO, and T-MARC with funding support from NORAD.

Together, we are laying the foundation for a Tanzania with healthy families, sufficient food, and resilient farmers capable of adapting to climate change. πŸŒπŸ’š

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address

NanenaneThemi Ground – Njiro, P. O. Box 10633 Arusha
Arusha
255

Opening Hours

Monday 01:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30