jesse_classic_
14/11/2023
Asante MUNGU wa mbinguni kwa kila kitu, nashukuru kupokea mwaka mwingine, yote ni neema na upendo kwangu, unilinde, unibariki, niishi kutimiza kusudi la kuja hapa duniani, nipe maisha marefu na ya furaha kila wakatiππππππππ
Nawashukuru wazazi wangu,Ndugu ,wakubwaa zangu,wadogo zangu, kwa kunilea katika maadili mema hadi hapa sasa nilipo mimi Jesse,ππππππππππππππππππ
Bila kusahau uwepo wa marafiki zangu wanaopenda kunisapoti kwenye kazi zangu Hadi nazidi kupiga hatua pindi ninapokwama wapo tyr kuchukulia shida zangu k**a zao sina cha kuwalipa mwenyezi mungu akufungulie milango ya mafanikio kwenu π€π€π€π€π€π€π€π€π€πππππππππ
Happy birthday 2 me ππππππππππππππ½οΈπ½οΈπ½οΈπ½οΈπ½οΈπ½οΈπ½οΈπΎπΎπΎπΎπΎπΎπΎπΎπΎπ·π·π·π·π·.
JESSE
12/11/2023
Sunday β€οΈ
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Arusha
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 16:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 06:00 - 15:00 |
| Thursday | 07:00 - 16:20 |
| Friday | 06:00 - 14:55 |
| Saturday | 08:10 - 17:15 |
| Sunday | 09:20 - 14:00 |