Nesi J4
25/09/2022
Epuka kunywa pombe na methadone kwani huongeza madhara ya dawa kwenye ini na inaweza kusababisha matatizo makubwa ya ini. Methadone na pombe ni vitu viwili ambavyo havipaswi kutumiwa Pamoja, na madhara ya kuchanganya yanaweza kuwa makubwa. Inakadiriwa, karibu nusu ya wagonjwa wanaotafuta matibabu ya uraibu wa dawa za kulevya ambao wamejiunga kwenye matibabu ya methadone wanauzoefu wa unywaji wa pombe....
Hatari: Usinywe pombe ikiwa unatumia methadone. · Nesi J4 Nesi J4 Hatari: Usinywe pombe ikiwa unatumia methadone.
11/09/2022
Mara nyingi, kujiua kunaweza kuzuiwa, jifunze mambo yanayoatarisha, ishara au dalili za hatari, ambazo ni pamoja na unyogovu/huzuni iliyopitiza, mabadiliko ya utu, tabia ya kujidhuru, mgogoro wa hivi karibuni wa maisha na mazungumzo kuhusu kutaka kufa. Ikiwa ni mwanafamilia au rafiki anazungumza juu ya kujiua, mchukulie kwa uzito. Wasikilize bila kuwahukumu na uwatie moyo kutafuta usaidizi wa kitaalamu. Kujitoa uhai…...
Kujiua: Nini cha kuzingatia? · Nesi J4 Nesi J4 Kujiua: Nini cha kuzingatia?
04/09/2022
.
Katika Maisha kuna muda utapata furaha, shida mbalimbali na kukabiliwa na changamoto mbalimbali. Hii ni Pamoja na kujisikia huzuni, hasira, wasiwasi, kujikuta kwenye wakati mgumu katika utafutaji wa Maisha na kujiingiza kwenye makundi yasioyo faa na kutumia dawa za kulevya, na hata kuzidiwa na msongo wakati mwingine.
Ugonjwa wa Akili unaathiri vipi Afya ya Akili?
https://www.nesijeyfo.com/?p=341
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Telephone
Address
0000