Itmcgraphix
12/03/2026
Your brand deserves more than just a logo 🔥
Hii ni nguvu ya professional business card design.
Simple, clean na inajenga trust kwa wateja.
Unataka design k**a hii?
📲 DM now
11/03/2026
Design speak than anything
10/03/2026
Soni logo branding
09/03/2026
Hii ni moja ya kazi zangu nzuri kufanya na mteja wangu alipenda kazi hii, k**a una biashara yoyote hakikisha unaitangaza biashara yako yakuwekea lebo zenye kuvutia
Lebo (sticker) katika bidhaa yako inauza kuliko ata didhaa yenyewe kuna msemo unasem “first impression matters” so hakikisha mteja anavutiwa kwanza na bidhaa yako na mtu atake kusaidia kufanya hivo ni itmc graphix pekee
karibu tufanye kazi pamoja k**a upo interested DM “lebo”
Tufanye kazi nzuri pamoja.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Arusha
23301