AFYA TIPS
19/04/2022
*NMN Capsules*
Nini maana ya *NMN ?*
Hiki ni kifupisho cha maneno haya *NI****NE MONONUCLEOTIDE*
*NI****NE MONONUCLEOTIDE* Ni aina mojawapo ya vitamin *B3* inayojulikana kwa jina *NIACIN* ambayo kazi yake ni kuamusha utendaji kazi wa *jeni* zinazohusika na uzeekaji wa seli ambazo huitwa *(sirtuin gene 1-7)*
*NMN* Ina uwezo mkubwa wa kuamusha kiwango kikubwa cha *NAD+* (Nicotinamide Adenine Dinucleotide) hii huitwa *( Coenzyme A)* , Coenzyme ni molecule ndogo mhimu kwa utendaji kazi wa vimeng'enya yaani enzyme
Kwa kifupi tumeona NMN ni kitu gani sasa tuendelee kutambua kazi zake mhimu
_*KAZI MHIMUZA NMN CAPSULES*_
●Hupunguza kasi ya kuzeeka haraka
●Huimarisha na kuunganisha sehemu ya DNA( kinasaba) iliyoharibiwa
●Inasaidia jeni ( gene) kufanya kazi kwa mda mrefu kwa kuipa nguvu , longevity gene ( sirtuin gene)
● Husaidia kuvunja chakula mwilini hasa sukari na kuwa nishati
● Inazuia na kuondoa kisukari
● Huongeza kinga mwilini
● Huzuia na kuondoa ugonjwa wa akili (dementia)
● Huimarisha utendaji kazi wa moyo
● Huimarisha mishipa ya damu
● Huimarisha misuli aina zote katika mwili wa binadamu
●Huondoa hali ya kuchoka kwa misuli kwani inauwezo wa kusaidia mwili kuunguza na kutoa nishati ya kutosha katika mwili
● Huboresha muonekano wa ngozi
● Huwasaidia watu wenye matatizo katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwani inamsaada kwenye vimeng'enya (enzyme)
*KWANINI NMN CAPSULES*
●Kidonge kimoja kina 150mg ya NMN
●Ni salama kwa afya yako kwani imepitia na kupitishwa na *GRAS* ya *FDA*
● Imeandaliwa kwa teknolojia kubwa (enzymatic technology)
● Ni mhimu kwa watu wanaojali afya zao na muonekano mzuri wa ngozi zao
● Imefanyiwa majaribio ya kikemikali na kuonekana hakuna madhara kutoka kuzalishwa mpaka kutumiwa
● Imepitia katika majaribio na mazingira mbali mbali na ubora wake ukaendelea kuonekana katika jotoridi sio chini ya 40°C
● Marighafi za kuzalishuia ziko salama na zinaubora
Ipate kwa sh 200000 tuu
Kwa mahitaji piga 0767477033
Au njoo wasap moja kwa moja bonyeza hapa chini
http://wa.me/+255767477033
Click here to claim your Sponsored Listing.