ZFDC
01/03/2023
SAFARI ILIKUWA NDEFU SANA ILA MMEKARIBIA KUFIKA. HATA WAO WALIANZA K**A NYIE
01/10/2021
Mafundisho sahihi hupatikana sehemu sahihi kutoka kwa walimu sahihi, mafundiosho sahihi yamekupeleka sehemu sahihi kwa muda sahihi. Dua sahihi itakujaalia kupata mafanikio sahihi. MUNGU AKUBARIKI NA KUKUPA MAFANIKIO SAHIHI. Ameen. Kila la heri Bwanga Jr
21/07/2021
K**a safari ndio kwanza unaanza, upo kwenye kilima kikubwa chenye msitu wa giza, wanyama wakali, nyoka wakubwa na Ndege wala watu, ila jua hiyo ndio njia pekee ya kufikia mafanikio, ni lazima uipite. Anza safari yako kwa matumaini bila kujali kikwazo chochote kitakachokukabili mbele yako. Muamini Mungu katika mafanikio. Amini kuwa Mungu hamtupi mja wake mwenye kujitahidi. Nawe usife moyo na jitahidi Mungu atakusaidia. Save my hope in yuor heart. Big up brother.
For all
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Amani
50702
Opening Hours
| Monday | 06:00 - 22:00 |
| Tuesday | 06:00 - 22:00 |
| Wednesday | 06:00 - 22:00 |
| Thursday | 06:00 - 17:00 |
| Friday | 06:00 - 22:00 |
| Saturday | 06:00 - 22:00 |
| Sunday | 07:00 - 20:00 |