Modo Midundo

Modo Midundo

Share

07/09/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Moudy Ngote, Veronica Upunda

Photos from Modo Midundo's post 17/08/2024

"DEAR MFANYABIASHARA"

Pole kwa yote magumu unayopitia'najua ni changamoto zinazopita! biashara ni sawa na mpenzi uliyempata kwa uharaka au kwa kuvumilia! uliyempata kwa uharak uenda hasidumu k**a kwa yule aliyekuangisha na kumvumilia! hiyo ndo biashara!

mafanikio na matokeo mazuri hayaji kwa uharaka lazima usote kimtindo kwahyo uvumiliv pamoja na juhudi ndo nguzo pekee"zinazoweza kukufanya ufikie malengo dear mfanyabiasha!
kodi nayo ni changamoto nyngne kipato kidogo afu kodi kubwa ! kweli dunia haiko sawa! uzima na kuwa karibu na muumba ndo jibu tosha! utashinda "dear mfanyabiasha" me ni
KimodoMsfi Og
... Hili ni shairi unaweza kulipata kwa njia ya sauti... Stay connected.
.......
○ Bora kuwa mvuta bangi kuliko kuwa Malaya♡...

Want your business to be the top-listed Clothing Store in Islamabad?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Islamabad