Vibes Code TV
15/09/2022
ALICHOKISEMA OMMY DIMPOZ KUHUSU YANAYOENDELEA MITANDAONI KMUHUSU YEYE NA BABA YAKE MZAZI Vibes Code Tv Presents all the news you ought to get with unimaginable expectations and a series of programs worth mind provoking to tension capturing. Vibes...
27/02/2022
Wakati mzozo wa Ukraine na Urusi ukiendelea kushika kasi, Korea Kaskazini imerusha kombora linalodhaniwa kuwa la masafa marefu kuelekea Baharini katika muendelezo wa majaribio yake ya silaha.
Majaribio hayo ni ya nane kwa mwaka huu pekee huku baadhi ya Watalaamu wakisema kwamba Korea Kaskazini inajaribu kukamilisha teknolojia yake ya silaha na kuishinikiza Marekani kutoa makubaliano k**a vile kuiondolea vikwazo.
Wakuu wa vikosi vyote vya majeshi nchini Korea Kusini, wamethibitisha juu ya Korea Kaskazini kurusha makombora lakini hawakutoa maelezo zaidi, bado Korea Kaskazini haijato kauli kuhusu mzozo wa Ukraine na Urusi.
Kwa hisani ya
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Telephone
Website
Address
Ukunda
16/01/2021