Beka Ruga

Beka Ruga

Share

03/06/2026

Delivered ya mavi🤪

02/06/2026

Alhamdulillah tumeyamaliza,nmeamua kumsamehe mke wangu baada ya vikao vingi vya kifamilia na ofisi ya kadhi, nmeamua kumuamini mke wangu maana mimi ndo namjua vzr lakini k**a mume ilinilazimu kutoa onyo la talaka moja,huu mtihani kwa kweli umetufunza vitu vyingi sana, i hope kuanzia leo hii tutakua bora zaidi ya jana.
Asanteni wote mliotusaidia kurudisha ndoa yetu imara❤️🙏

02/06/2026

Kibao kata reloaded🤪

01/06/2026

Happy birthday my brother 🎂🎁🎊🎉 more years of success inshallah

Telephone

Website