KAMBA GIRL
18/03/2026
😂😂 Huyu Brian Njagi ni mtu wa maajabu kweli! Ati anakutana na madem kwa njia, anawaambia story ya mia mbili, na before wajue ni nini—wameshakubali deal! Hii confidence si ya kawaida bana 😅
Hiyo ya kwanza ni soft talk ya kuwaconvince, ya pili ni “mechi” imeanza officially 💀
Lakini honestly, madem siku hizi mnaenda aje aje? Ama ni hii uchumi inafanya watu wawe flexible hivyo? 🤣
Sasa wengine wanasema jamaa anatumia “special powers” za kuvuta watu 👀… lakini mimi naona ni confidence + timing tu 😂
Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Rift Valley?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Address
Kins Arcade
Rift Valley
Rift Valley
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 20:30 |
| Tuesday | 08:00 - 20:30 |
| Wednesday | 08:00 - 20:30 |
| Thursday | 08:00 - 20:30 |
| Friday | 08:00 - 20:30 |
| Saturday | 08:00 - 20:30 |