Perry Peris
From 1st Jan to 31st Dec...
Kweli Mungu wetu ni waajabu.
We adore you oh our Heavenly father
Chukua dakika moja tu;
Mwambie Mungu ni asante, mshukuru tu kwa kukupa uhai na yale amekutendea kwa huu mwaka🙏.
2 Cor 4:8,9
Tumegandamizwa kila upande, lakini hatujashindwa. Tumetatanishwa lakini hatukati tamaa
9 tumeteswa lakini hatuku achwa upweke; tumetupwa chini lakini hatujateketezwa.
Asante MUNGU Kwa kuwa pamoja nasi katika hii safari🙏
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu anishibisha neema, anipa yote yanifaayo kwa roho yangu na mwili. Amina
24/12/2023
Merry Christmas family...
Click here to claim your Sponsored Listing.