Freedom St.
12/06/2026
After BREAKUP,,,watoto ukumbuka;
1.Venye aliMISS opportunity ya kukuEXTORT na kukusare chai rangi...
2.Vitu alikuk**atia k**a gwanda,,mbota,,jersey na kazarika..
3.Vitu ulimPROMISE na haukumk**atia ama ukamchoresha giza....
4.Venye niniio yako ni 'pienga'/'toothpick' na ati haukua unafikisha ama kumkuna venye inafaa....
HANAKU siku shidrens ataona ama kukumbuka SACRIFICES zako...
Atakua LOYAL kwa feelings zake alone..
Najua haiwabambi but MAISHA iko ivo...
Inakuaje watuuuu,,si mkuwe na weekendi tinafi....
πβοΈ
12/06/2026
Unawaste time yako kuproovia raia ati ivo venye wanasema kukuhusu si ivo...
Ufanye nzuri ama ufanye mbaya wejua laaazima wataboronja...
Take time kuishi maisha venye unataka bora usikanyage ama kudharau mtu juu saa ukitaka kua mimi nani atakua wewe??
Harooo,,mpo??
Inakuaje watuuu,,kaFURAHIDAY kawararu...
πβοΈ
11/06/2026
Subax wanaagsan kutoka Garisaa...
Ata hao wanamesea na wamepitisha STREETS ni za FREEDOM alone...
Si mkuwe na siku tifin watuuu,,,uradi geng...
10/06/2026
Ni hours sahi tunahesabu kabla firimbi ya nzakwa ya the GRANDEST STAGE ya WORLD FOOTBALL ipigwe pale Estadio Azteca irima ya Mexico City...
Kwa mara ya shomwi manze jo tutasoma three 'gods' of football k**a Neymar,,Cr7 na Messi wakirepresent country zao kwa BIG STAGE...
Ikifika Sunday,,July 19th 2026 unaona nani akitoka na SMILE na kumaliza on a high???nani atamake history kwa hii DANCE YA SHOMWI???
For the first time unaona hii trophy ikilink MADEIRA,Portugal ama Buda Thiago ataikatalia na apige back to back arudi nayo ROSARIO,Santa Fe Province,Argentina???
Alafu pia tusisahau kibronje wa Rafaella Santos anataka watu wa Mogi das Cruzes,SΓ£o Paulo,Brazil wakue na feeling na experience ya kuzaa na kulea CHAMPION wa dunia...
Nani anaenda na WORLDCUP round this??unaSUPPORT country gani??
09/06/2026
OFFSIDE KIDOGO...
Hii ishakua k**a NATIONAL DISASTER...
For the past 3weeks manze jo mesti k**a iraa zimefungwa juu ya threat ya kuchoma ama kublaze mesti Kenya k**a nzima...
FUTURE tunasemaga ni ya shonake kidogo ni k**a wameanza kulegeza kamba na kuchochana ufala...
Wee unadhani ngori inaweza kua nigri??ni watoi wetu hawana discipline??ni wazazi wamefail??ni conditions za kidato skuizi si conducive??inaweza kua ni cult ama mathena inatokea wapi???
MNAONAJE??
08/06/2026
Normalize kusema 'HIO HAIKO KWA BUDGET YANGU SAHI'.....
Hakuna aibu kukubali hauwezi afford kitu flani idhaa flani...
Usijimalize ukijaribu kufurahisha mbogilize...
Jamboo watuuu, si mkuwe na wiki true...
πβοΈ
07/06/2026
All work na NO play wanasemaga inafanyaga yut anaitwa JACK akuwe sijui a DULL boy...
Kulingana na venye LIVITY sahi inatutoa nduki kitu iko leo nayo ilibidi tukuwe uyo JACK ndio angalau ata tupumzishe mongrel tukiUNWIND na kuCATCH up na maYUT wenzetu irima za ZEYTOON tukiskiza MKANDA na kujenga bridges na wenzetu....
Imekua NGEROOOOO,,,k**a haujalink leo wee ngojea tu GAZETI ZA MTAA wakupeleka na mokwa juu tayari HABARI wako nayo...
A BIG thanks to NGAMIA ONE β½β½ WAARABU WEUSI for having us..TUMEFURAHIA na tuzidi jo fam ππΏππΏ...
Greetings watuuuu,,si hii wiki anze kulingana na venye mumeomba..kiSMART na URADI tupuuu ndio tunawatakia....
07/06/2026
Venye tu si uSUPPORT,,kuWISH well,, kujipendekeza na kuFORCE line kwa ma 'celeb' hawatumesei ndio pia tunafaa kua na ENERGY same ikifika kwa ma arif wetu...
Apa hapa kwa ground ndio tutatoboa wote tukishikiliana kikamili,,kushikishana rada na kuvutishana aerial kwa shagla za uradi...
Mwenzako akizama mtupie kamba..MEN supporting MEN na WOMEN supporting WOMEN ndio agenda tutawakumbusha kila leo...
Alafu si idhaa ya MKANDA NA JUA pale ZEYTOON kidogo ndio izi ni k**a zimewahi wahi...MKO???
Kulingana na INTELLIGENCE zimekanafi kwetu kutoka kwa NIS,,DCI na FBI ni ati in the next 57 minutes and 70 seconds k**a hautakua umekaa ndit ni ati umwokalize na kiti yako kanjevee juu continent nzima ni k**a inalink...
TUPATANE basi ZEYTOON tushiriki ibada ya maTYCOON...REGGAE na arufu ya VANILA/STRAWBERRY na MINT...
NB:BEBA SADAKA YAKO..mtaFURAHIA..
πππβοΈ
06/06/2026
Dear ladies:
Mjamaa wako atakuchorea aendee kwa arif yako,,jirani yako,,mcuzinto wako ama ata deejay(mboch) wako...
So TAKE CARE of your man kabla siku jamo urau jo na ushindwe kwani nini inaendelea..
Inakuaje watuu,,weekendi iwararu...
πβοΈ
#
05/06/2026
Hatujakataa laazima chali aPROVIDE,,aPROTECT na aLEAD...
So swali yangu ni ati ma gyaldem wanafaa kuduu nini kwa relationship???
Najua hamko ready kwa hii conversation na italeta mambo geng so wacha tu niseme kueni na usiku tifin na weekend jamo polite...
πβοΈ
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Nairobi