KENYA ONE
28/11/2024
USILOLIJUA KUHUSU TEMBO.
1. Tembo, Pamoja na ukubwa wake, akitembea hana kishindo kabisa. Miguu yake kwa chini ni k**a ina sponji hivi.
2. Tembo ana uzito wa tani 3 mpaka 7
3. Tembo jike hubeba mimba miaka 2
4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na makadirio ya kilo 80
5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40
6. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.
7. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele
8. Wastani wa umri wake wa kuishi ni miaka 60.
9. Tembo hufanya mapenzi kwa masaa 12. Masaa 6 ya mwanzo huyatumia kumuandaa mwenzi wake, na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe. Na hiyo ni ile raundi ya kwanza (bao la kwanza)
10. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne
11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita 2
UKIAMBIWA USIMUIGE TEMBO, UWE UNAELEWA KENGE WEWE
25/11/2024
The young man who went viral for opposing the leasing of JKIA to the Adani Group experienced a life-changing moment as comedian Eric Omondi treated him to his first-ever flight, landing at the very airport he had passionately defended.
"Our brother today boarded a plane and landed at JKIA for the very first time ever. We celebrate and appreciate him. We enrolled him at a TVET. He wants to be a mechanic," Omondi noted.
Hastings Kimathi said, "Not all legends are in caps."
Kiluo Kingpin added, "He saved the airport...he saved many lives depending on that airport."
Photo: Eric Omondi (Instagram)
23/11/2024
Ningepin location lakini huwa mnaruka post zangu 🙊 acha nitafte position 😂🤣
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Nairobi Area