Lewie Comedy

Lewie Comedy

Share

26/04/2024

Lewie:Hi beb
Shiroh:πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
Lewie:N nini babe sikuelewi aki?
Shiroh:πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Lewie:kuwa serious cutie
Shiroh:πŸ™†πŸ™†πŸ™†
Lewie: Akh ilove you k**a "Manchester United" team yangu😹
Shiroh:πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Lewie : ok, ile pesa uliniambia nikutumie nitume kwa hii namba ama ile ingne ?
Shiroh: pole bae , simu ilikuwa na mtoi but tuma kwa ile namba ingne , hii iko na fuliza beb😍😍
Lewie:😎😎
Shiroh:Beb ndio nini sasa?
Lewie:😚😚
Shiroh: utatuma ama
Lewie:😈😈
Shiroh:kwendah nilijua huna pesa ghasia wew
Lewie:kwa mpesa wataleta jina gani πŸ™†
Shiroh: Shiroh Makena, I love you bebπŸ’•πŸ’•
Lewie:πŸ‘πŸ™ŠπŸ™ŠπŸ˜πŸ˜œπŸ˜œπŸ€£πŸ€£ good night
Shiroh:labwa na shetani kwa USO πŸ™„πŸ˜‘
Lewie: you 2

22/04/2024

Sisemi Ni mkisiiπŸ˜†πŸ˜‚lkn
Ameambiwa anyamaze
Kwa dakika tano apewe 10k...
Kufika 4min 30seconds
Akauliza Ni cash ama mpesa🀣🀣🀣🀣

01/03/2024

Beshty yangu ananiitia pombe na niliachanga,but acha niende Nikatae liveπŸ€­πŸ˜‚

10/02/2023

Madame,Utapata jamaa anakwambia aty tuma picha full,kwani anataka kukutengenezea jenezaπŸ€”πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Meru?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Meru