Merianprince012

Merianprince012

Share

11/07/2025

🙆🤔👉Leo nikiwa nimetulia tu hivi kwa nyumba kidogo nimepigigwa phone 📱 kuangalia ni Mary kutoka muriri 🙆.
Huyu Mary nilikuwa ninamtext sana huku Facebook akaniambia ako na bwana lakini juu ya urembo wake mm niliendelea kumsumbua kumtext dem naye hakuwa analenga messages zangu🥰
Nikaangalia Sharon alikuwa ameenda kuoga nikachukua hiyo call faster nikatoka nje ya ploti👊.

Mary:Unaendeleaje mpenzi❤️
Me:Niko poa
Mary:Uko wapi sahii?
Me:Nimetulia tu kwangu
Mary:Akh nataka tumeet leo nikakuone sweetheart
Me:Uko wapi?
Mary:Niko kwangu huku muriri unaweza make kuja kwangu?
Me:Ndio dear👊
Mary:Nakungoja basi ukifika unipigie simu📱
Me:Sawa darling ❤️

After kumaliza kuongea naye nilirudi kwa nyumba nikapata Sharon ashamaliza kuoga nikamwambia aniwekee maji kwa bafu nikaoge kuna emergency nimeitiwa kazini👊
Sharon akaniwekea maji teketeke nikaoga nikapata amenipangia nguo zangu nikafaa nikatoka kwelekea kwa Mary.Kufika stage ya muriri nilimpigia phone 📱nikamwambia Mary niko kwa stage,Mary akaniambia nimngoje kwa dakika 10 mimi nikamsubiri kabla hajakuja nilienda nikanunua CD 3 za kazi nikaziweka kwa wallet nikijua leo lazima aniangushie mzigo🍆🍑
Dakika kumi kuisha Mary alinipigia phone tena👊

Mary:Umevaa aje dear?
Nikamwelezea kidogo dem akajitokeza mbele yangu🙆 akanipa hug❤️ kisha akanipeleka kwake👊
Kuingia kwa nyumba yake ambayo ni 2bedroom akafunga mlango vizuri mimi nikajua hapa ni mzigo ananiangushia akh🍑❤️🥰akaniletea chakula nikiendelea kula nilisikia akiitana "Baba Morgan yule jamaa ambaye alikuwa ananisumbua kwa calls na messages ndiye huyu amefika💔"....

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Meru?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Meru